Delegate
JF-Expert Member
- Jan 4, 2012
- 331
- 201
kuna habari njema kwa member wa Sadc,kuna kazi inaendelea sasa hivi ambayo itafanya wanachama wote wa sadc ikiwemo tanzania kuwa border free kutoka 2015,kwa tunaoishi Botswana sasa hivi kama tunakuja tanzania driving tunalipishwa hela nyingi sana pale border,pamoja na kulipia vitu vyote ulivyo navyo the same umetoka nchi iliyo kwenye sadc,tunashukuru sana kwa hilo tunaona ni hatua nzuri kwa mabadiliko makubwa na maendeleo ya sadc members