assume kwamba ni kweli hio ni sera ya SADC:Jumuia ya Umoja wa nchi za Kusini mwa Africa(SADC) inaendelea na mchakato wa mkutano wake wa Viongozi wakuu wa nchi 16. Mkutano huo umeanza kwa kutanguliwa na WIKI YA VIWANDA na baadaye MAKATIBU WAKUU WA hizo nchi 16.
Katika kufunga wiki la MAONYESHO ya VIWANDA nilimsikia Katibu wao Mkuu akisema kuwa SERA YA VIWANDA KWA NCHI ZA SADC ilitangazwa Rasmi mwaka 2015 mwezi wa 8 wakati Rais Jakaya Kikwete akikaribia kumaliza muda wake Oktoba 2015.
Katika kampeni za Uchaguzi Mkuu wa 2015 Magufuli akiwa mgombea wa Urasi toka Chama cha CCM alianza kujinasibu kuwa anataka kuanzisa Serikali ya Viwanda kana kwamba hilo lilikuwa ni wazo lake binafsi kitu ambacho siyo kweli. Mkutano unaokuja wa SADC uliotanguliwa na WIKI YA VIWANDA umethibitisha ukweli huo!
Nawasilisha.
1. Sasa unataka kusema Tanzania imekosea kuadopt hio sera?
2. Je hivyo viwanda vitakiwa kujengwa wapi - nje ya SADC?