SADC countries condemn Rwanda for supporting DRC rebels!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

SADC countries condemn Rwanda for supporting DRC rebels!!

Discussion in 'International Forum' started by JokaKuu, Aug 22, 2012.

 1. J

  JokaKuu Platinum Member

  #1
  Aug 22, 2012
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 12,789
  Likes Received: 5,047
  Trophy Points: 280
  ..this is some bad news for Rwanda.

  ..the country is being viewed as a security threat to DRC, and SADC region.

  ..SADC countries r contemplating sending a regional force to Eastern DRC.

  ..Rwanda may soon find herself in an armed conflict with Angola,South Africa, Mozambique, and Zimbabwe.  source:
  Southern Africa tells Rwanda to stop DR Congo rebel support | Radio Netherlands Worldwide
   
 2. Chamoto

  Chamoto JF-Expert Member

  #2
  Aug 23, 2012
  Joined: Dec 7, 2007
  Messages: 2,078
  Likes Received: 1,115
  Trophy Points: 280
  Wanachelewa nini, hata sisi Tanzania hawa jamaa ni threat kwetu, unakumbuka watutsi walitaka kuleta majeshi yao kwetu wakisingizia wanawatafuta waasi wa kihutu waliokimbilia kwetu. Hichi kijamaa ki-kagame teyari kimesha dhorotesha biashara ukanda wetu kwa sababu bidhaa zilizokuwa zinaenda kongo kutokea Dar sasa zinashindikana kwa kutokuwa na hali ya shwari mashariki ya kongo.
   
 3. Z

  ZeMarcopolo JF-Expert Member

  #3
  Aug 23, 2012
  Joined: May 11, 2008
  Messages: 13,589
  Likes Received: 480
  Trophy Points: 180
  Hapo ndipo unapokuja ugumu wa regional cooperations. Kwenye EAC Rwanda ni ndugu zetu, linapokuja swala la SADC ndugu zetu ni Kongo. Akili kichwani...
   
 4. Edzeame

  Edzeame Senior Member

  #4
  Aug 23, 2012
  Joined: Aug 8, 2012
  Messages: 183
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Rwanda, Tanzania pekee ndio nchi bado AM hazieshimu uhuru wao. Rwanda inavuruga amani DRC, Tz inasumbuana na Malawi. Wafrika we have a great lesson to learn
   
 5. J

  JokaKuu Platinum Member

  #5
  Aug 23, 2012
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 12,789
  Likes Received: 5,047
  Trophy Points: 280
  ..I think ppl r getting "fatigued" by this chap, Kagame.

  ..mataifa mengi yalimpenda na kumhurumia, tatizo Kagame abused that goodwill and generosity.

  ..suala hili linaweza kuchukua sura mpya ambapo AU nayo ikaungana na SADC kui-condemn Rwanda. kumbuka kwamba Chairman wa AU sasa hivi ni mama Nkhosana Zuma wa South Africa.
   
 6. Kabaridi

  Kabaridi JF-Expert Member

  #6
  Aug 24, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 2,028
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  Rwanda sasa hivi wako katika hali ya hatari...Wao walifurahia sifa tele waliokuwa wanapata kutoka ulaya huku mataifa mengine yakitengwa. Lakini haijulikani nin nini hasa kiini cha kagame kuweka M@# hapo DRC. Bila shaka hana pa kutorokea.
   
 7. J

  JokaKuu Platinum Member

  #7
  Aug 24, 2012
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 12,789
  Likes Received: 5,047
  Trophy Points: 280
  Kabaridi,

  ..Waswahili husema, "mgema akisifiwa tembo hulitia maji."

  ..maana yake ni kwamba ukimsifia sana mpishi[mgema] wa pombe, mwisho wake huanza ku-dilute[kutia maji] pombe ili auze zaidi, kitu ambacho huharibu pombe nzima.

  ..that is what happened with Kagame. Alilewa sifa, matokeo yake akaenda overboard with DRC attrocities.

  ..Itahitaji ufundi mkubwa sana kuweza kuchomoka hapo.

  ..SADC ingeweza kumshughulikia tangu mwaka 1998 lakini tatizo lilikuwa ugomvi wa Mzee Mandela na Robert Mugabe kuhusu nani ana authority ya kuamrisha SADC military intervention.

  ..sasa hivi inaelekea hakuna power struggle, and SADC inazungumza with one voice. halafu kuna huyo mama toka South Africa ambaye ni Chairman wa AU, so that organization might take the same stand as SADC with regards to Rwanda.

  ..Nadhani the world has gotten tired of lying for Rwanda. Mateso ya wananchi wa DRC hayawezi kuvumiliwa tena.

  ..DRC has also become too important. The world[west] has finally realised that DRC must be peaceful so that her resources can be fully exploited.
   
 8. Nguruvi3

  Nguruvi3 Platinum Member

  #8
  Aug 24, 2012
  Joined: Jun 21, 2010
  Messages: 12,223
  Likes Received: 7,345
  Trophy Points: 280
  Mnakumbuka Laura Nkunda! Huyu alikuwa anaungwa mkono na Rwanda. Kila akitafutwa anajificha Rwanda.
  Eti anadai Wanyarwanda walioko DRC wapewe haki.

  Kofi/Mkapa/ Obasanjo wakamwita Nairobi wakiwa na ushahidi na kumwambia ima amkamate Nkunda au yeye ashughulikiwe.Wiki moja baadaye Nkunda aliyekuwa anatafutwa miaka mingi akakamatwa.

  This should be a wake call kwa Tanzania hasa maeneo ambayo kuna wakimbizi wengi.
   
 9. Nairoberry

  Nairoberry JF-Expert Member

  #9
  Aug 24, 2012
  Joined: Mar 7, 2012
  Messages: 570
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  if SADC intervenes militarily then EAC/IGAD will have no option than side with Rwanda despite its fault.tanzania will be neutral as usual, last time SADC intervened it ended up with thousand of lives lost. but when all is said and done i think kagame is to blame for the mess in eastern congo,am sure he is counting on kenyas backing against SADC
   
 10. Tram Almasi

  Tram Almasi JF-Expert Member

  #10
  Aug 24, 2012
  Joined: Feb 26, 2009
  Messages: 755
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  International politics, to my thinking is full of hypocrisy. ''You are my friend,You are my enemy largely depends on the prevailing situation''. But ZeMarcopolo, how can a country be your ally,friend, good neighbour if her moves and motives put you in a precarious situation be it political or economical?
   
 11. J

  JokaKuu Platinum Member

  #11
  Aug 24, 2012
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 12,789
  Likes Received: 5,047
  Trophy Points: 280
  Nairoberry,

  ..SADC might be making these statement bcuz they have the support of the UN, USA,UK,and the international community.

  ..bila SADC intervention in 1998, DRC would have fallen to Rwanda and Uganda.

  ..Rwanda na Uganda walikuwa wanapata msaada mkubwa toka western countries. that support is not guaranteed this time.

  ..wakati huo huo, Zimbabwe, the biggest DRC ally during the war, aliwekewa economic and military sanctions na UK na USA.

  ..for ur information Rwanda and Uganda lost more soldiers in DRC as compared to SADC contingent frm Zimbabwe,Angola,and Namibia.

  ..mwisho, majeshi ya SADC left DRC with a clean human rights record.

  NB:

  ..EAC/IGAD is no match to SADC when it comes to military superiority.

  ..ni nchi gani katika EAC inaweza kupigana na majeshi ya Angola??

  ..bado hujaongeza South African money and equipment, and Zimbabwes professionalism.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 12. Nairoberry

  Nairoberry JF-Expert Member

  #12
  Aug 24, 2012
  Joined: Mar 7, 2012
  Messages: 570
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  hapo kwenye nyekundu hiyo nchi unahifahamu vizuri,inamiliki ndege za f16 helicopter za kisasa za havoc, drones,special forces na kadhalika, jiulize kama rwanda na uganda tu ziliweza kukalibia kuiteka congo nzima dhidi ya nchi sita za afriki kusini , je kenya ingekuwepo?????? nakuomba usome hii link vikamilifu halafu tafakari,angola ni kiroboto tu kwa mgongo wa ndovu(Kenya) asante kaka.
  Second Congo War - Wikipedia, the free encyclopedia
   
 13. J

  JokaKuu Platinum Member

  #13
  Aug 24, 2012
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 12,789
  Likes Received: 5,047
  Trophy Points: 280
  Nairoberry,

  ..the 1st SADC mission in DRC was not fully successful bcuz the organization was fractured.

  ..South Africa, and Botswana, were supporting Rwandas position and agendas in the DRC.

  ..Hata Tanzania haikuwa na mahusiano mazuri na Mzee Laurent Kabila. Ilifikia mpaka akasusia kuja kumzika Mwalimu Nyerere. Kumbuka kwamba Wamba dia Wamba alitoka hapa Univ of D'Salaam kwenda kuongoza a rebel group that was being armed by the Ugandans.

  ..Also, u have to take into consideration kwamba Zimbabwe ambao walichukua responsibility kubwa zaidi kijeshi, walikuwa na vikwazo vya kiuchumi na kijeshi.

  ..Angola was not fully committed to DRC kwasababu walikuwa bado wanapigana na Jonas Savimbi and UNITA rebel group.

  ..mwisho, naamini Kenya iko makini sana on how they conduct their foreign policy. I dont see Kenya supporting Rwanda, wakati USA,UK,and the international community have already condemned her[rwanda] for meddling with DRC affairs.
   
 14. Kabaridi

  Kabaridi JF-Expert Member

  #14
  Aug 25, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 2,028
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  JokaKuu,
  Tukijadili matokeo ya consipiracy kama hii kati ya mataifa ya EAC kujiingiza kizingumkuti cha DRC Kichwa kichwa , ukweli ni hakuna taifa itafaidika. Eac naona mataifa yanatafuta usalama na kutaka kuwa vibaraka za nchi za ulaya, Tanzania uganda, kwa ujumla wana tatizo hili.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 15. J

  JokaKuu Platinum Member

  #15
  Aug 25, 2012
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 12,789
  Likes Received: 5,047
  Trophy Points: 280
  Kabaridi,

  ..u need to get ur facts right kabla ya kuanza kutuita wa-Tanzania vibaraka wa nchi za ulaya.

  ..U have a problem of always looking down on Tanzanians. I dont think u believe Tanzania can make the right decisions for herself. In your opinion, only Kenya has the capacity to make the right decisions for herself, EAC, and even Tanzania.

  ..umeshasahau kwamba wakati wa matatizo ya uchaguzi ya Kenya, Kagame alipendekeza mvamiwe kijeshi??

  ..umeshasahau kwamba wakati wa matatizo ya uchaguzi ya Kenya, Kagame alipendekeza mvamiwe kijeshi?? umesahau kwamba viongozi wa Tanzania, Mkapa na Raisi Kikwete, walikuwepo kumsaidia Koffi Annan kusuluhisha mgogoro wa uchaguzi wa Kenya?

  ..sasa leo hii unamuona Kagame ni rafiki wa Kenya kuliko sisi wa-Tanzania kwasababu Rwanda wamesaini EAC defence pact, na wa-Tanzania tumekataa?

  ..Rwanda has been given the benefit of doubt to prove her case against DRC. walipewa kila msaada na international community ku-secure usalama wao dhidi ya threat ya uvamizi wa interahamwe. Rwanda isingeweza kuvamia DRC na kupigana kwa miaka kadhaa na majeshi ya SADC bila msaada wa international community na zaidi USA.

  ..situation in the eastern DRC has gotten so much worse to the point kwamba the international community can not cover up any more for Rwanda and the rebels groups. vyombo vya habari vimelipa eneo la eastern DRC jina maarufu la "the rape capital of the world."

  ..idadi ya wananchi waliopoteza maisha ktk vita vya DRC inakadiriwa kuwa btn milion 1 mpaka 5. ni makosa makubwa kwa nchi za kiafrika kutokuchukua hatua zozote zile na zaidi kuendelea kukaa kimya.

  ..mapendekezo ya SADC kuhusu kupeleka jeshi la kulinda amani DRC yanapaswa kuunga mkono na Waafrika wote, pamoja na international community.
   
 16. TUJITEGEMEE

  TUJITEGEMEE JF-Expert Member

  #16
  Aug 25, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 10,786
  Likes Received: 2,682
  Trophy Points: 280
  Black: I suspect Rwandese have overpowered USA and UK in competing for DRC's resources grabbing as Rwanda is in better position geographically than her foes. To make the situation worse for UK and USA, Rwandese have optimally and wisely utilized those resources in a manner that is guaranteeing sustainable development for her citizens.

  I am sure you are aware that those UK, USA and the like are desperate to see Africans ranking higher on dependence to them (UK, USA, etc).

  I wonder if SADC are alert to the situation on the ground regarding Eastern DRC or they are just "coming on football pitch with machete".
   
 17. J

  JokaKuu Platinum Member

  #17
  Aug 25, 2012
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 12,789
  Likes Received: 5,047
  Trophy Points: 280
  MpigaKelele,

  ..there r so many school of thought regarding what is going on in DRC.

  ..a different twist to what is going on is that it will be much more difficult to exploit DRC resources if the whole country turns into another Somalia.

  .
   
 18. Paul Kijoka

  Paul Kijoka JF-Expert Member

  #18
  Aug 25, 2012
  Joined: Oct 25, 2010
  Messages: 1,400
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  tatizo tunakuwa na vichwa vya panzi, kana kwamba ndo inajulikana hii!!! Kagame ni nyoka!!! Mkumbuke huyu jamaa anavyoendelea na mauaji ya watu wanaookana kuingia kwenye Anga zake. Hapa TZ suspected kumuua yule PROF. HAFAI
   
 19. Kabaridi

  Kabaridi JF-Expert Member

  #19
  Aug 26, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 2,028
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  JOKAKUU
  Sijasema Tz haiwezi toa decisions EAC. Lakini mineral resources is at stake here. It is a shame kuwa Hawa Angola na hali teh teh ya systems za governance wanapata ujasiri ya kuhakikisha na kudictate a staunch MAOIST! policy hapo Kinsasha wakiona hata SA na Tanzania wakikubali sera ya Marekani. Waafrika hawatamani kutoka na kugraduate kutoka kwa JUNGLE/GUERRILLA DIPLOMACY wakifadhiliwa kihali na mali na USA.

  .......Ni vizuri kukumbuka DRC has never recovered kiuchumi tangu Mobutu Desire Joseph kubanduliwa. Kabila amebaki kikwazo kwa watu wa congo kupata maisha yakuwafaidi na vizazi vyao. Kabila anabaki a cover for international community interests KINSASHA.
   
 20. J

  JokaKuu Platinum Member

  #20
  Aug 26, 2012
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 12,789
  Likes Received: 5,047
  Trophy Points: 280
  Kabaridi,

  ..Mobutu aliwekwa na western countries and was removed by Rwandese with blessings frm the same powers.

  ..mimi nadhani nchi za Kiafrika zilikosea sana kuwaruhusu Rwanda na Uganda kuleta vurugu ndani ya DRC mwaka 1998. Africans, SADC in particular, made a grave mistake of legitimizing Rwanda invasion in DRC which was aimed to removing president Laurent Kabila frm power.

  ..The only African president ambaye nitamheshimu kwa jinsi alivyo-deal na crisis ya DRC ni Robert Mugabe wa Zimbabwe. He has been quite imperfect in his own country, but has been spot on in DRC, and stood for the TRUTH.

  ..Viongozi wengine wote, hata Mkapa wa hapa Tanzania, totally misread the DRC crisis na matokeo yake imekuwa ni vifo vya mamilioni ya wananchi wasio na hatia.
   
Loading...