Tena kuna wengine wanazeeka bila mtoto, sijui wanasubiri hadi waolewe... Hawajui mficha uchi hazaiKher yake yeye kajiamulia kuzaa... kuliko wale wasio na shida zozote na bado wakatoa mimba... bila sababu za msingi..
Wataalam wanasema ni hatari sana kwa mama mjamzito kunywa pombe kwasababu inaweza kuja msababishia mtoto kifafa
Na wanasema 90% ya watoto wote wenye kifafa duniani chanzo chake kikubwa ni pombe.
Haya mambo inafaa tuwe tunaelimshana kidogo kidogo ipo siku labda wataelewa.We umeielewa vizuri hii Sad Story, hapo juu naona wanatoa hongera tu, hawajui kinachoendelea kwenye hiyo picha.
Nisaidie namba ya wa pembeni yakeMtoto akikuwa akiiona hii picha hawezi kumsamehe mama yake