Sad reality about Tanzanite

Kichuguu

Platinum Member
Oct 11, 2006
12,034
2,000
Na akumbuke 2018 ilikua ni regime ya JIWE
Hiyo ilikuwa ni kabla ya ukuta; hayo ni mauzo ya Tanzanite ya mwalka 2013 siku nyingi sana lkab;la ya Magfufuli na Ukuta wake. Baada ya ukuta namba zilibadilika sana, ingawa bado utoroshaji ulikuwapo lakini ulipungua sana.

1632884456513.pngCurrently, India is the largest exporter of Tanzanite stones peaking at more than $300 million, followed by Kenya at $100 million and Tanzania at $38 million. Globally, the tanzanite trade earns more than $500 million a year.7 Apr 2018
Yours is an outdated source; you are quoting 2013 data and claim to be 2018 data

Tanzanite is a precious gemstone that changes colour in different lighting conditions. Although deposits are not found anywhere in the world apart from Mererani, north of Dar es Salaam, the country is not the biggest exporter of the rare gemstone. Paul Masanja, commissioner at the minerals ministry says that Tanzania comes a distant third behind India and Kenya. Masanja, quoted in local media, said that while Tanzania exported only US$38 million worth of tanzanite in 2013, Kenya and India exported US$100 million and US$300 million respectively. Smuggling is one of the primary reasons for this and involves three distinct levels.

samurai

JF-Expert Member
Oct 16, 2010
9,505
2,000
sasa mbona mwendazake alipokuwa anajaribu kuchukua hatua dhidi ya hili tulimpinga na kumuona mjinga kwa kejeli nyingi?..

Mwendazake alikuwa akipiga kelele kila uchao kwenye majukwaa dhidi ya hili na kujaribu kuchukua hatua ikiwa pamoja na kujenga ukuta, kuanzisha masoko pale Arusha, kuwakamata watoroshaji wote wa Tanzanite, kupambana na wenye bureau juu ya utakatishaji wa fedha nk..
Tulishindwa kumuunga mkono baadala yake tulimdhihaki na kumkejeli....
 
Ndombwindo

JF-Expert Member
Nov 23, 2013
783
1,000

Kwenye mambo kama haya usikejeli au kusifia kwa kufuata mkumbo, hakikisha umefanya upembuzi yakinifu binafsi, kumbuka wapo ambao huwa na maslahi binafsi kwenye mambo kama haya.

Magu alifanya mengi, na kama ujuavyo ukweli unakawaida ya kuuma, ndio maana waliokumbana na ukweli katika njia zao wote waliumizwa na mwendazake.
 
Huihui2

JF-Expert Member
Jan 5, 2012
1,604
2,000
sasa mbona mwendazake alipokuwa anajaribu kuchukua hatua dhidi ya hili tulimpinga na kumuona mjinga kwa kejeli nyingi?..

Mwendazake alikuwa akipiga kelele kila uchao kwenye majukwaa dhidi ya hili na kujaribu kuchukua hatua ikiwa pamoja na kujenga ukuta, kuanzisha masoko pale Arusha, kuwakamata watoroshaji wote wa Tanzanite, kupambana na wenye bureau juu ya utakatishaji wa fedha nk..
Tulishindwa kumuunga mkono baadala yake tulimdhihaki na kumkejeli....
Kwanini tumuunge mkono mtu alikuwa anafanya unyama kwa hisia zake tu? Yaani unaunga mkono wafanya biashara wa bureau de change kunyang'anywa forex zao? This is inhumanity and cruelty of the barbarians not of civilized society.

Let him continue to ROT IN HELL
 
Shoctopus

JF-Expert Member
Dec 29, 2015
3,081
2,000
Currently, India is the largest exporter of Tanzanite stones peaking at more than $300 million, followed by Kenya at $100 million and Tanzania at $38 million. Globally, the tanzanite trade earns more than $500 million a year.7 Apr 2018
Nothing strange!
Why do you think so many 'big' people in the past few years flocked to India and Kenya for "matibabu"?
The two states obviously are smarter than the third.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom