Sad newz-Wale mliomaliza UDOM 2011

Mr Mayunga

JF-Expert Member
Jun 11, 2011
313
40
Kuna graduate aliitwa Ashura Jumanne Ally,alisoma BED-Biology.Alipangika wilaya Rufiji,tulikua nae kituo kimoja kinaitwa Kazamoyo sec.Amefariki jana jioni katika hospital ya Mchukwi iliyopo wilayani Rufiji. Alikua mweupe mfupi,sio mnene sana mkazi wa kondoa,kwa mawasiliano zaidi 0764620855
 
Jamani poleni sana mliofiwa, na kwa watanzania wote kwani walimu wa science ni wachache sana na akifariki mmoja maumivu yanakua makali.
 
mhhh poleni sana wafiwa wote, walimu wenzake wote, na wanafunzi wake. Roho yake ilazwe pema peponi. Amina
 
Inasikitisha kumpoteza mwl msomi kama huyu, huenda kifo chake kingeepukika kama kungekuwa na huduma za afya za uhakika nchini. Tz ni sehemu hatari sana kuishi binadamu hapa duniani. R.I.P Ashura.
 
Back
Top Bottom