Sad newz-Wale mliomaliza UDOM 2011

Ugonjwa gani ulio katisha maisha ya huyo mpendwa wetu?

Msije tu mkasema kalogwa, maana siku hizi kifo hakikosi sababu ya kuambiwa kuna mkono wa mtu...
kafa kwa natural death.............LOL

RIP Ashura
 
Pumzika kwa amani ASHURA, mola ailaze mahali pema roho yako, tuko katika harakati za ukombozi wa taifa letu siku mmoja tutakua pamoja tena peponi. Amin!:pray:
 
so saaad, so saaaad.... Mungu ampokee miongoni mwa watakaokuwa ktk mapokeo mazuri
 
malaria na upungufu wa damu,at the same time alikua na kichanga tumboni!

At her age,i probably think of reproctive health problems though it's two way traffic,but largely contributed by this week government lead by a weak leader,RIP.
 
Inasikitisha!. Kila mtu ajue kwamba kuna wakati hakuwepo, kuna wakiti awapo, halafu kuna kipindi tena hauta kuwepo. No one shall live for ever!!
 
Back
Top Bottom