Sad News

Kwann iwe udsm mkuu, afuu sikwelewi unapodema ud ndo chanzo.
 
Soma taarifa ya heslb Mkuu. Wanatoa 3rd batch kesho.. Pia the Same day udsm ndo wanafungua.. Mfano wangefungua mapema kwa Mujib Wa kalender zao hata loan board wangejua Kiwango Hali's cha wanafnz waliodahiliwa.. Sa huwez toa mkopo kwa waliopo vyuon wakat Bado Kuna wengne wanaomba.. Hapo Mzee ni takwim tu.. Ambaye kachelewesha ni udsm..
Kwann iwe udsm mkuu, afuu sikwelewi unapodema ud ndo chanzo.
 
Azimio la Musoma ninalikumbuka
 
Nimekupata mkuu
 
Aseeeh
 
Duuh poleniii..hata kwa yatima wana apply hii kitu kweli?
 
Inamaamisha ata first year waliomaliza mwaka huu, kama wanaenda kusoma ualimu wa sanaa (arts) mkopo hawapati according to maelezo kwenye vigezo. Tobaaaaa
 
Kama mnachukua Wa China ili wapewa contact ya ujenz Wa barabara sasa kwann usiwape vijana mkopo.. Wakimalza chuo peleka site timua wachina.. Daah kwel alyenacho daaah
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…