Sad News: e.Tv : We’re saying goodbye to WWE

Sad News: e.Tv : We’re saying goodbye to WWE

Nmeona Supersport wamesema ndio wamepewa rights za kuonyesha WWE
 
....Acha kashfa mimi niko Morogoro kijiji cha Lunenzi muda huu naangalia Isidingo the needs episode ya 88 via you tube, hii ni episode ya jana kule South
Hiv toka isdingo ianze ipo episode ya 88 tu

Duuuuuuuuuuuu 😱 😱 😱 😱 😉 😉 😉 😡 😡 😡 😡 😵 😵 😵 😵 😵 😵 😵 😵 😳 😳 🙂 🙂 😛 😀 😀 🙂 🙂 😎 😎 🙄 🙄 😛 😛 😛 😛 😕 😕 😕 😕 😕 😛 😛 😛
 
Hiv toka isdingo ianze ipo episode ya 88 tu

Duuuuuuuuuuuu 😱 😱 😱 😱 😉 😉 😉 😡 😡 😡 😡 😵 😵 😵 😵 😵 😵 😵 😵 😳 😳 🙂 🙂 😛 😀 😀 🙂 🙂 😎 😎 🙄 🙄 😛 😛 😛 😛 😕 😕 😕 😕 😕 😛 😛 😛

[emoji849][emoji849][emoji849]
 
WWE wameingia mkataba na dstv ...soo hope september kaa karibu na dstv make itakuwa hata kile kifurushi cha mambo mpaka compact...s3, S4, S10 nk
4d35b62f78ac19ad9290659d38c19a9c.jpg
 
Nadhan huwez kupata raha halisi ya wwe kwa kuangalia etv , Chanel bora kabisa ambayo imejikita kwenye mieleka tu ni Abu Dhabi 4. Kule tunapata live Match zote pamoja na Vintage collections zote .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom