sad:: mwendesha baiskeli akutana na simba selous

jaribu kuupa ubongo wako ushikikiano hii picha ilipigwa sio karibu na kabla ya askari kufika na kumkurupusha, huyu simba akawa amesha wahi kunyofoa mkono na kunyonya damu ya jamaa shingoni na kuondoka..
Mbona mikono yote miwili iko intact?
 
Haya bwana

map%20of%20tanzania.jpg

Lakini mkuu hii sio ramani ya serous game reserve. ila serous imezungukwa na mikoa ya Pwani, Lindi, Ruvuma, na Morogoro
 
Lakini mkuu hii sio ramani ya serous game reserve. ila serous imezungukwa na mikoa ya Pwani, Lindi, Ruvuma, na Morogoro

By the way it is Selous Game Reserve and NOT Serous labda kama twazungumza vitu viwili tofauti! Jamaa hapo juu alitaka jua hifadhi ipo wapi ukiangalia ramani unaona iko mikoa ipi.
 
Haaa Mpwa, siwezi fanya mizaha hata siku moja, soma comment yangu ya kwanza, hii ya pili ilikua mwendelezo wa comment mojawapo iliyouliza kuwa mbona mkono wa pili kama vile upo? na nani aliepiga picha na akiwa wapi? sorry mpwa kama nimeleta comment yenye utata, sorry once more, hope umenielewa na kunisamehe.

mkuu simba aliondoka na mkono kabla askari hawajamkurupua na hawakuwahi kumuua kwani alishaingia kwenye kundi la wenzake na wakaondoka
 
It's a sorrow to lose fellow in this way! Ndo maisha ya kuwa jirani na wanyama, life goes on.
 
mkuu simba aliondoka na mkono kabla askari hawajamkurupua na hawakuwahi kumuua kwani alishaingia kwenye kundi la wenzake na wakaondoka

Out of curiosity! Jamaa walikuwa busy wanapiga picha wakati jamaa analiwa na Simba?
 
Out of curiosity! Jamaa walikuwa busy wanapiga picha wakati jamaa analiwa na Simba?
watalii ndio walipiga hii [picha kabla ya kuwapigia simu askari wa selous au unataka hadi clip ya tukio zima
 
watalii ndio walipiga hii [picha kabla ya kuwapigia simu askari wa selous au unataka hadi clip ya tukio zima

Ilitokea miaka ya nyuma Mikumi National Park! Wajapan walikuwa kwenye gari lao la kitalii wakafanikiwa ona Simba wakifanya mapenzi. Mmoja wao alishuka chini apate picha nzuri ya tukio. Matokeo yake Simba wakaachana na kumshambulia, wale wenzake badala ya kumsaidia walikuwa wako makini zaidi kupata picha nzuri zaidi za mwenzao akiliwa na Simba. Ndo sababu ya kuuliza kama ni scenario moja na huyo muhanga wa baiskeli
 
ghawakuwa pamoja mpiga picha alikuwa mtalii na mpanda baiskeli alikuwa na safari zake tu za kila siku za kutafuta riziki
 
Duuuuu pole sana anafaa awe shujaA kama aliponaaa...kwa msaaada wa waliopita baada ya tukioo simba akaanza njaa kali kwa simba maana akishiba huwa hawezi kuwinda!!!!
 
Aliyepiga picha lazima atakuwa mzungu au alikuwa na tabia za kizungu (ukumbusho) badala ya kusaidia hata mwili ye anapiga picha. Saaad kwa marehemu. Na ukimuua huyo simba tanapa wanakuja juu!
 
Aliyepiga picha lazima atakuwa mzungu au alikuwa na tabia za kizungu (ukumbusho) badala ya kusaidia hata mwili ye anapiga picha. Saaad kwa marehemi. Na ukimuua huyo simba tanapa wanakuja juu!

hawatakuacha
 
Kama vile kajifanya kumdanganya simba kuwa amekufa, na inaelekea simba nae kakubali jamaa kavuta ile anasubiri kidogo huenda akafufuka, sasa jamaa akikosea tu.....analo

This is very terrible, mkuu jamaa 'kavuta' hapo, huoni Damu kwenye Shati lake na chini ya kichwa na Simba anakula sehemu ya Koo na Ngozi ya Kifua? aaaah Poleni wafiwa

inaelekea alikuwa anaenda kuuza Nafaka, angalia kiloba kwenye baiskeli yake, hapo hata kama una kisu ni lazima uliwe tu na haya ni kati ya mambo yanayolalamikiwa na watu wa vijijini ambako hakuna hata Barabara Bora Simba ndio jirani zao
 
mkuu umenena kabisa hapa wakubwa wetu ndio wa kupewa lawama kwa kusnidw kutengeneza miundombinu ya kuepusha haya majanga....na utalii ndio unaongoza kwa kuingiza pesa kwenye pato la taifa
 
Back
Top Bottom