Yes, I like it, hii imetulia sana sio kama ya mwanzo, keep it up! Ila ushauri mwingine tu ni kwamba usiwe unaleta full beat maana kibongo bongo usijeshangaa kesho msanii fulani kaimbia beat yako na sijui kama beat zenyewe hizi zina hatimiliki, kama hazina hatimiliki huwezi shitaki mahala popote. Narudia tena keep it up!
Wakuu baada ya kupata kpata comments zenu kwenye ile beat ya kwanaza nimetengeneza Hii beat ya taratibu kidogo....
Mnaweza mkanipa maoni yenu pia kuhusiana na hii beat ya sasa