Aldosterone
Member
- Feb 13, 2019
- 9
- 3
Karibuni wakuuSabufa aina ya SeaPiano SP -871 inauzwa kwa bei ya Tsh 89,000..Nimepatwa na shida inabidi niitatue mara moja
Ina mwezi mmoja tangu inunuliwe na kila kitu kipo hadi boksi
Nipo Majohe G/Mboto..0738354315
Tusaidiane waungwana
Bluetooth,Fm radio,Sd card,Flash,Aux
I can feel you my friendSabufa aina ya SeaPiano SP -871 inauzwa kwa bei ya Tsh 87,000..Nimepatwa na shida inabidi niitatue mara moja
Ina mwezi mmoja tangu inunuliwe na kila kitu kipo hadi boksi
Nipo Majohe G/Mboto..0738354315
Tusaidiane waungwana
Yap ile kari sana unajua kwanin hazipo nowdys?Zile sea piano za miaka ile,nyeupe hivi hazina usb,remote/SD wala nini.
Zina ule waya wa kuchomea kwny simu ukitaka kusikiliza mziki/kwny PC zilikua zinapiga vzr sana.
Mzigo bado upo..nawakaribisha sanaYap ile kari sana unajua kwanin hazipo nowdys?
baada ya mchna kuona hazizingui wakazitoa dukan
wakaleta za mfumo wa digtal
Sent using Jamii Forums mobile app
Analogs ndio zilikuwa za ukweli sana. Hizi zenye digital circuit zinazengua mziki wake sio mzuri kama wa zile old model zenye knobs!Zile sea piano za miaka ile,nyeupe hivi hazina usb,remote/SD wala nini.
Zina ule waya wa kuchomea kwny simu ukitaka kusikiliza mziki/kwny PC zilikua zinapiga vzr sana.
toa15 nkupe hela chapu mkuuNimeshusha bei hadi 75K..wadau karibuni
Zile Old zilikua vzr sana mkuu,kitu kinapiga fresh tuAnalogs ndio zilikuwa za ukweli sana. Hizi zenye digital circuit zinazengua mziki wake sio mzuri kama wa zile old model zenye knobs!
True datZile Old zilikua vzr sana mkuu,kitu kinapiga fresh tu