Sabodo: Sina mpango wa kuhama CCM; Awakana CHADEMA, awaonya Watanzania

Mtu aliyekwenda kwa Sabodo ni Chiligati msema hivyo na akili zako mnazijua.Gazeti alilo enda nalo ama aliko toa habari ni via Uhuru then mnaanza debate hapa ? Siamini kama Sabodo anaweza kutamka maneno hayo yaliyo semwa na Chiligati .Siamini nakataa nani hamjui Chiligati na Nape ?
 
Sabodo mwenye anauza ile kitu.. Unacheza na wahindi wewe!
 
Chiligati ni yupi,yule mwenye makengeza?kama ndio hawezi tumia pisto kwani hawezi patia shabaha.KIGUMU CHAMA CHA MAGAMBA.
 
Chiligati nae anatafuta pa kutokea...maana chama kimeshikwa na Nape kwa sasa yeye hana lake
 
huyu mzee paka nini? Vyama vingine havina uzoefu wa kuongoza nchi, kwani ccm walifanya pilot study? Ccm walikuwa na nchi ya kusadikika ya kufanyia mazoezi ya uongozi? Aseme tu aliogopa macho ya chiligati. Nyerere alisema hivyo miaka 20 iliyopita kuwa hajaona mbadala wa ccm. Leo miaka 20 baadae huyu mzee anatuambia nini?
 
Hebu akapimwe akiri kwanza, isije kuwa anaugonjwa wa kupoteza kumbukumbu sisi wanasiasa tunashabikia, haiwezekani Yanga Imsaidie Simba Ktk ushindi wowote ambao wanapambana wao kwa wao hebu tutafakari na hili pia.
 
haki haipatikan kwa longolongo,fanye mema ndo usifiwe sio usanii wa kila siku kuuza sura kwenye vyombo vya habari
 
Chiligati ni yupi,yule mwenye makengeza?kama ndio hawezi tumia pisto kwani hawezi patia shabaha.KIGUMU CHAMA CHA MAGAMBA.
kwani Dr wa ukweli ni yule kilema wa mkono na mdomo uliopinda?? Mbowe hatofautiani sana na chiligati kwa definition yako hapo juu
 
Hili ni gazeti gani? Naona hii habari imeandikwa kiushabiki. Na linaonekana kama gazeti linalo promote CCM. Hatasemaje kuwa ametoa mil 200 kwa ajili ya kuchimba visima bila kujali wabunge wanatoka chama gani,wakati alitoa kwa ajili ya maeneo wanayotoka wabunge wa CHADEMA.
Alafu anaposema hakuna chama kingine kinachoweza kuongoza zaidi ya CCM,wakati juzi alisema CHADEMA kinaweza. Waandishi wengine wa Habari wanaandika habari ambazo ni kwa ajili ya kupindisha ukweli tu.

Ni mhariri taahira wa uhuru magamba bila shaka
 
"Siwezi kuondoka CCM ambako nimekuwa mwanachama kwa zaidi ya miaka 40,"

If my brain still serves my correctly, CCM ilizaliwa 1977. Simple arithmetic 2011 - 1977 = 34
Je hiyo miaka zaidi ya 40 anayosema mhariri wa UHURU ameitoa wapi? au ndiyo hesabu
za sekondari za kata hizo?
 
huwa namkubali sana huyu mzee!!

ndo baadhi ya rafiki wa nyerere waliobaki wenye mawazo chanya kimaendeleo.
 
"Siwezi kuondoka CCM ambako nimekuwa mwanachama kwa zaidi ya miaka 40, CCM bado Chama kizuri, kina uzoefu wa kuongoza, isipokuwa ndani yake kuna baadhi ya viongozi hawaitakii mema, ndiyo maana wakati mwingine nakemea kwa kuwa siko tayari kuona Chama changu kikiteketea," alisema Sabodo. Alisema haoni chama mbadala cha CCM ambacho kinaweza kushika dola na kuongeza kuwa, "Vyama vyote vya upinzani havina uzoefu wa kuongoza nchi."-sabodo

Very clear CDM if you real mean it...kataeni na misaada yake, kuwa aitoe kupitia NGO na sio kupitia chadema ambao hawawezi kuongoza nchi!!!
 
Gazeti la uhuru na taarifa ya habari jana saa 10 jioni,hawa jamaa mazuzu kweli wakati vyombo vya habari vikiangaika kutujauza zaidi kuhusu Gaddafu wao wanaangaika na CHADEMA.
 
Kwa hiyo kama kawapa maeneo yanayotoka Wabunge wa CHADEMA basi yeye kisha kuwa magwanda? na hayo maeneo ya wabunge wa magwanda hakuna watu wasio na vyama? au wa vyama vingine> au mtawabaguwa wasiteke maji kwa kuwa wabunge wa hayo majimbo ni wa magwanda? Unanshangaza!
Dah dear Faiza Upo Mtu wangu! aisee. Lakini nisaidie hili hivi huko Magambani unapata nini hasa tujulishe wenzio! Nimewahi kumfanyia vipimo vya kimaabara na vingine vya kimazingara(Ramli) mwanamagamba mmoja nikagundua kuwa ni Totally Mchizi ! kwani yanataka moyo kuwapigia Magamba Ufagio. Magamba ni kama Moto wa Mjinga, Ukiuota tu basi kuni utazifuata utake usitake
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom