Sabodo Akanusha Kuahidi Kuwekeza $5B Dodoma

Sasa mm nashindwa kuelewa hivi hata mzee mwanakijiji kichwani hamna kitu siku hizi maana alielezea hivi kukaa kote nje alikuwa hajui ukubwa wa 5 use billion ninyingi mno jamani Mzee MM udini utamua
Ukiwa ccm akili yako unashauriwa iwekwe kwenye makabati ya Katibu mkuu
 
Huu uzi upadiswe juu ya ule wa 'msema ukweli' wa Lumumba ili aonekane msema uongo.
 
Mfanyabiashara maarufu nchini, Mustafa Sabodo ameitaka Serikali kuwachangisha wananchi ili kupata fedha za kuhamishia makao makuu ya Serikali mjini Dodoma.Sabodo ambaye hivi karibuni alisema kuwa amesitisha misaada yake kwa CHADEMA na kuhaidi kuwa atachangia trilioni 10 za kuisaidia Serikali kuhamia Dodoma amesema kua hana pesa hizo.

Akizungumza jana katika mahojiano maalumu nyumbani kwake Upanga jijini Dar es Salaam, Sabodo alisema hana fedha za kutoa kwa ajili ya maandalizi ya ujenzi wa miundombinu mkoni Dodoma.
“Nataka niweke suala hili vizuri, sina fedha za aina hiyo popote pale. Ninazo mali kadhaa lakini sina fedha zote hizo. Watu wengi wanakuja kwangu, wanakuja hapa, nipe pesa, nipe pesa, hakuna pesa hapa,” alisema Sabodo na kuongeza:
“Mimi ni kama kichocheo tu, kama ndimu unatia kwenye soda. Nilichosema ni kutafuta juhudi kutoka kwa kampuni za India na Singapore kufanikisha ujenzi wa makao makuu ya Dodoma, lakini sina kiasi chote hicho cha fedha,” alisema.
 
Mfanyabiashara maarufu nchini, Mustafa Sabodo ameitaka Serikali kuwachangisha wananchi ili kupata fedha za kuhamishia makao makuu ya Serikali mjini Dodoma.
Sabodo ambaye hivi karibuni alisema kuwa amesitisha misaada yake kwa CHADEMA na kuhaidi kuwa atachangia trilioni 10 za kuisaidia Serikali kuhamia Dodoma amesema kua hana pesa hizo.
Akizungumza jana katika mahojiano maalumu nyumbani kwake Upanga jijini Dar es Salaam, Sabodo alisema hana fedha za kutoa kwa ajili ya maandalizi ya ujenzi wa miundombinu mkoni Dodoma.
“Nataka niweke suala hili vizuri, sina fedha za aina hiyo popote pale. Ninazo mali kadhaa lakini sina fedha zote hizo. Watu wengi wanakuja kwangu, wanakuja hapa, nipe pesa, nipe pesa, hakuna pesa hapa,” alisema Sabodo na kuongeza:
“Mimi ni kama kichocheo tu, kama ndimu unatia kwenye soda. Nilichosema ni kutafuta juhudi kutoka kwa kampuni za India na Singapore kufanikisha ujenzi wa makao makuu ya Dodoma, lakini sina kiasi chote hicho cha fedha,” alisema.
Source; Darubiniyako
 
Naihurumia sana Serikali ya mwendokasi. Kwahiyo atasaidia kutafuta wafadhili tu na si yeye kutoa pesa! Asipowapata ama wasipokubaliana na maombi yake, ina maana Dodoma hakutaendeka. Sasa zile mbwembwe zote zilikuwa za nini?
 
Dewji mwenyewe ambaye ni tajiri kuliko Sabodo hana hata trillion 2,nikashangaa huyu sabodo atatoa wapi trilion10
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwa ufupi

Akizungumza jana katika mahojiano maalumu nyumbani kwake Upanga jijini Dar es Salaam, Sabodo alisema hana fedha za kutoa kwa ajili ya maandalizi ya ujenzi wa miundombinu mkoni Dodoma.

Dar es Salaam,
Mfanyabiashara maarufu nchini, Mustafa Sabodo ameitaka Serikali kuwachangisha wananchi ili kupata fedha za kuhamishia makao makuu ya Serikali mjini Dodoma.

Akizungumza jana katika mahojiano maalumu nyumbani kwake Upanga jijini Dar es Salaam, Sabodo alisema hana fedha za kutoa kwa ajili ya maandalizi ya ujenzi wa miundombinu mkoni Dodoma.

“Nataka niweke suala hili vizuri, sina fedha za aina hiyo popote pale. Ninazo mali kadhaa lakini sina fedha zote hizo. Watu wengi wanakuja kwangu, wanakuja hapa, nipe pesa, nipe pesa, hakuna pesa hapa,” alisema Sabodo na kuongeza:

“Mimi ni kama kichocheo tu, kama ndimu unatia kwenye soda. Nilichosema ni kutafuta juhudi kutoka kwa kampuni za India na Singapore kufanikisha ujenzi wa makao makuu ya Dodoma, lakini sina kiasi chote hicho cha fedha,” alisema.

Chanzo: Mwananchi

MsemajiUkweli Mzee Mwanakijiji Pasco joka kuu The Boss Mag3
BILIONEA SABODO AFARIKI DUNIA..

Bilionea na Mchumi maarufu nchini, Mustafa Jaffer Sabodo amefariki Dunia leo alfajiri akiwa nyumbani kwakwe, Masaki jijini Dar es Salaam.

"Mzee amefariki leo alfajiri akiwa nyumbani. Taratibu za mazishi zinaendelea na atazikwa katika makaburi yaliyoko mtaa wa Bibi Titi Mohamedi karibu na CBE," amesema Danstan.

Marehemu Sabado alizaliwa mkoani Lindi na alikuwa akifanya biashara katika nchi za Ufaransa, India, Kenya, Sudan, Nigeria, Zimbabwe na Tanzania.

Atakumbukwa kwa mchango wake ulioanzisha Mwalimu Nyerere Foundation National Lottery alipotoa msaada wa Sh milioni 800. Alihusika katika utoaji wa misaada kadhaa iliyohusisha kilimo, ujenzi wa visima na kusaidia wenye uhitaji.
Sabodo atazikwa leo saa 4:30 usiku.
Inna Lillahi wa inna ilaihi raji'un.
“We surely belong to Allah and to Him we shall return”
"Sisi sote ni wa Mola, na kwake tutarejea".

Paskali pia anakuaga!.
RIP Jaffar Sabodo.
 P
 
Hilo jina sabodo alipewa na wamakonde wa ntwara
Anyway poleni sana ndugu jamaa na marafiki

Ova
 
Awamu ile ya yule mwendawazimu ulikuwa hata kama una bilioni 1 yako ya halali kwenye account yako ya benki ulionekana adui na mwizi.
 
Back
Top Bottom