Sabodo Akanusha Kuahidi Kuwekeza $5B Dodoma

Sabodo hana uzalendo wowote, watu hawajiulizi kwa nini biashara zake kubwa kubwa ziko nje ya nchi? Ajifunze kwa wenzie kama kina Dewji family, Bakhresa, Rostam au Manji
 
Mzee mwanakujiji we need you here acha kukurupuka
 
Watu wanataja $5B kama utani, nilisangaa kwa kweli, hiyo pesa ni almost budget ya Tanzania ya mwaka mzima.
Hana utajiri huo unless alkua anaficha, kuficha utajiri wote huo ni kitu kigumu sana, itahitaji awe na account mbalimbali nje na transactions ziwe wired kwa siri mno.
 
Kwa ufupi

Akizungumza jana katika mahojiano maalumu nyumbani kwake Upanga jijini Dar es Salaam, Sabodo alisema hana fedha za kutoa kwa ajili ya maandalizi ya ujenzi wa miundombinu mkoni Dodoma.

Dar es Salaam,
Mfanyabiashara maarufu nchini, Mustafa Sabodo ameitaka Serikali kuwachangisha wananchi ili kupata fedha za kuhamishia makao makuu ya Serikali mjini Dodoma.

“Nataka niweke suala hili vizuri, sina fedha za aina hiyo popote pale. Ninazo mali kadhaa lakini sina fedha zote hizo. Watu wengi wanakuja kwangu, wanakuja hapa, nipe pesa, nipe pesa, hakuna pesa hapa,” alisema Sabodo na kuongeza:

“Mimi ni kama kichocheo tu, kama ndimu unatia kwenye soda. Nilichosema ni kutafuta juhudi kutoka kwa kampuni za India na Singapore kufanikisha ujenzi wa makao makuu ya Dodoma, lakini sina kiasi chote hicho cha fedha,” alisema.

Chanzo: Mwananchi
safi sana mzee sabodo kwa kuyaumbua CCM yaliyodhani kwamba utayapatia fedha za bwerere. yalidhani yatapewa fedha za kutunishia matumbo yao...........hayooooooooooooooooooooo...yameumbuka!
 
pic+sabodo.jpg

IN SUMMARY

Akizungumza jana katika mahojiano maalumu nyumbani kwake Upanga jijini Dar es Salaam, Sabodo alisema hana fedha za kutoa kwa ajili ya maandalizi ya ujenzi wa miundombinu mkoni Dodoma.

Mfanyabiashara maarufu nchini, Mustafa Sabodo ameitaka Serikali kuwachangisha wananchi ili kupata fedha za kuhamishia makao makuu ya Serikali mjini Dodoma.

Akizungumza jana katika mahojiano maalumu nyumbani kwake Upanga jijini Dar es Salaam, Sabodo alisema hana fedha za kutoa kwa ajili ya maandalizi ya ujenzi wa miundombinu mkoni Dodoma.

“Nataka niweke suala hili vizuri, sina fedha za aina hiyo popote pale. Ninazo mali kadhaa lakini sina fedha zote hizo. Watu wengi wanakuja kwangu, wanakuja hapa, nipe pesa, nipe pesa, hakuna pesa hapa,” alisema Sabodo na kuongeza:

“Mimi ni kama kichocheo tu, kama ndimu unatia kwenye soda. Nilichosema ni kutafuta juhudi kutoka kwa kampuni za India na Singapore kufanikisha ujenzi wa makao makuu ya Dodoma, lakini sina kiasi chote hicho cha fedha,” alisema.

Source:MWANANCHI
 
Kuhamia dodoma sio kipaumbele na hakitapunguza makali ya maisha na ajira kwa wanyonge!! Wanatapanya pesa za serikali!! Haina maana kwetu sisi
 
"Nipe pesa nipe pesa, hakuna pesa hapa"hahahahahah He realy made my day!!
 
Kuna majamaa tukiwa kijiweni yalikua siriaz kutetea sabodo eti atatoa b5 USD.... na ni mamtu yana masters... bongo kaaz sana
 
Sabodo hana uzalendo wowote, watu hawajiulizi kwa nini biashara zake kubwa kubwa ziko nje ya nchi? Ajifunze kwa wenzie kama kina Dewji family, Bakhresa, Rostam au Manji
Hawa wanaokopa timu?
 
Mimi nilijiuliza sana kwamba huyu Sabodo basi ni tajiri sana ktk Afrika na duniani!!

Kwa sababu $5bn ni zaidi ya shilingi trilioni kumi za kitanzania..........karibu nusu ya bajeti yote ya serikali ya Tanzania kwa mwaka wa fedha 2016/2017!!

Ki ukweli niliamua nikae kimya na kujisemea moyoni, ama kweli Magufuli ana bahati ya kuungwa mkono ktk maamuzi yake ya kutolea barabarani tu!!

Lol..!! kumbe ilikuwa ni propaganda tu za jamaa wale kijani na njano wa mtaa wa pili!!??

Aisee kumbe hii nchi ndiyo maana inaitwa "Bongo!!"......bangua bongo kweli kweli!!
 
Sabodo anasema atawaleta wawekezaji kuja kuwekeza Tanzania hususan Dodoma yeye akiwemo. Na taarifa ya awali ilieleza hivyo. Sasa wewe kwa kuwa hujui unakuja na hisia binafsi unaandika uongo na manyumbu wenzako wanakuunga mkono
Usipende kupotosha! Gazeti la serekali Habari Leo liliripoti kwa mapana na marefu kwamba Sabodo atatoa bilioni 5 USD na atawashawishi na marafiki zake waje wawekeze kwenye viwanda hapo Dodoma! Tena wakasema ataanza na uwekezaji kwenye shule, hospitali na real estate! Hawakuishia hapo, wakasema Sabodo aamua kuachana na CHADEMA na hatawapa tena fedha! Waje hapa watuambie hiyo habari waliitoa wapi?
 
Haya magazeti ni kinyaa!!
 
Dola b5 waandishi mliichukulia powa? Hiyo ni hela haswa Sabodo huyu angeipata wapi?

Ila kuna mwandishi mmoja aliliweka sawa kwamba sabodo atashawishi marafiki zake wa Italy, Egypt, India n.k. ili wawekeze Dodoma ambapo wakikubali investment zao itafikia hizi $b5
Waandishi wa Tanzania ukishawapa bahasha ya khaki umemaliza , hata kama ina elfu 5
 
Kwa ufupi

Akizungumza jana katika mahojiano maalumu nyumbani kwake Upanga jijini Dar es Salaam, Sabodo alisema hana fedha za kutoa kwa ajili ya maandalizi ya ujenzi wa miundombinu mkoni Dodoma.

Dar es Salaam,
Mfanyabiashara maarufu nchini, Mustafa Sabodo ameitaka Serikali kuwachangisha wananchi ili kupata fedha za kuhamishia makao makuu ya Serikali mjini Dodoma.

Akizungumza jana katika mahojiano maalumu nyumbani kwake Upanga jijini Dar es Salaam, Sabodo alisema hana fedha za kutoa kwa ajili ya maandalizi ya ujenzi wa miundombinu mkoni Dodoma.

“Nataka niweke suala hili vizuri, sina fedha za aina hiyo popote pale. Ninazo mali kadhaa lakini sina fedha zote hizo. Watu wengi wanakuja kwangu, wanakuja hapa, nipe pesa, nipe pesa, hakuna pesa hapa,” alisema Sabodo na kuongeza:

“Mimi ni kama kichocheo tu, kama ndimu unatia kwenye soda. Nilichosema ni kutafuta juhudi kutoka kwa kampuni za India na Singapore kufanikisha ujenzi wa makao makuu ya Dodoma, lakini sina kiasi chote hicho cha fedha,” alisema.

Chanzo: Mwananchi

MsemajiUkweli Mzee Mwanakijiji Pasco joka kuu The Boss Mag3
Maneno tuu huyu hata $B3 anaweza asiwe nayo....
 
Back
Top Bottom