Sabaya: Nimewasamehe wote walionikosea

Precious Diamond

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2023
Posts
751
Reaction score
1,691
"Kama kuna mtu nimemkosea mbele za Mungu anisamehe, na mimi mbele za Mungu anayeishi kama kuna mtu yeyote anadhani alinikosea, iwe shahidi, iwe kutengeneza kesi kunisingizia uongo, leo kwa kibali cha Mungu nimemsamehe. Nimenyanyua mikono, sitapigana, na mtu atakayeendeleza vita, naiacha vita hiyo apigane na Mungu." - Lengai Ole Sabaya


​
 
ULIOWAUA?
 
Daah?! Hivi mtu anayeweza kumkosea mtu kama Ole Sabaya atakuwa mtu wa namna gani?! Kwa sababu ukatili na uhalifu aliotenda Ole Sabaya mwenyewe is beyond comparable, sasa huyo atakayemkosea si atakuwa zaidi ya shetani?
 
Itakuwa aibu kubwa sana na Laana mbaya sana kwa mimi binafsi kusamehewa na Sabaya
 
Ulowabaka bila kwenda kuomba msamaha kwa waume zao kamwe hawatakuacha
 
Imebaki Kwa aliowakosea kama watamsamehe, ili limebaki mikononi mwao kadili waonavyo wao.
 
anaanza kupata akili kidogo lakini asipewe uongozi wa aina yoyote ile imetosha!
 
Sabaya mpuuzi, badala ya kuomba msamaha kwa watanzania eti anasema amewasamehe waliomkosea.

Yeye ndiye kawakosea mamia kwa maelfu ya watanzania, inabidi awaombe msamaha.

Mjinga kweli huyu muuaji, mporaji na mtekaji
 
Daah?! Hivi mtu anayeweza kumkosea mtu kama Ole Sabaya atakuwa mtu wa namna gani?! Kwa sababu ukatili na uhalifu aliotenda Ole Sabaya mwenyewe is beyond comparable, sasa huyo atakayemkosea si atakuwa zaidi ya shetani?
Unaweza kutueleza ni ukatili gani aliufanya. Au wewe ni kati ya maboya wanaolishwa propaganda? Kwanza uko mkoa gani?
 
Subutuuu yako wewe! Hii ni jinai, ulitakiwa kukaa kimyaaa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…