Sabaya ni Sura kamili ya Hayati Magufuli

Fanya mambo mengine mbona dunia imejaa mengi ya kufanya. Acha kumsimanga hayati haikusaidii na wala haimsaidii huko alipo.
Alijitabiria yeye mwenyewe kuwa akifa kaburi lake Lita stahili hata kuchapwa viboko.
acha wenye makovu na majeraha walitandike Hadi hamu yao iishe.
 
😂😂 Sijawahi kutana na mwendawazimu wa kiwango hiki tokea misingi ya dunia iundwe.
Kweli nimeamini kua uyaone.
Hata watoto wanakufa chini ya Miaka mitano nao walitenda dhambi mpk zikawapungukia Miaka ya kuishi?
Kweli taahira huona kila mtu ni tahira.
Good morning moron
 

Alisema alikuwa anatekeleza aliyotumwa na mamlaka ya uteuzi
 
UNAONEKANA ULILIA SNA KWENYE ULE MSIBA AKATI WENZIO WAKILA BIA, ENDELEA KUMUENZI HUYO MUUMIANI
Pia inaonekana una tabia za ubabaishaji kukisia mambo ambayo akili yako inakutuma, vijana mnashindwaje kujenga hoja kutetea mawazo yenu? Lete hoja.
 
Ndiyo kwa nini yeye pekee yake asimangwe,mbona Nyerere hasimangwi,mbona Mkapa hasimangwi,hivi hujiulizi sababu ni nini ni chuki binafsi za watu au ni ufinyu wa fikra.
Sio jambo zuri kumsimanga marehemu asiyeweza kujitetea. Kumbuka hilo, kwamba na wewe ni marehemu mtarajiwa.
 
Hakuna pumziko kwa mtu mwovu
We unajuaje kama ni muovu! Unajua mungu anafikiria bini! Unajua uovu unaouona wewe inawezekana kwa mungu ni blessing. We mungu unamjua anataka nini au tunajaribu kubashiri tu kwamba inawezekana mungu anataka hiki au hataku kile. Mi naamini hakuna anayejua mungu anataka nini. Probably aliyoyafanya jpm ndo mungu anataka
 

Mkuu Mama Samia Ni zao la JPM. Jaji mkuu. Marehemu mama mkuu wa mkoa mstaafu wa Kilimanjaro Ni zao la JPM. Mkuu wa mkoa wa Dodoma naye alikuwamo. Je hao wanaakisi Nini.

Watu Wema ndo hutangulia haraka kwa Mungu. Wabaya huishi muda mrefu ili wapate muda wa kutubu. Mfano wewe kipenzi cha ……. mtaishi mpaka miaka 120 ili mtubu haya mnayofanya Sasa. Unatumia fallacies kuandika conclusions zako. Sijui kichwani una Shida gani. Katibiwe mkuu mapema ukichaa sio kuokota makopo tu. Ni aina yako ya kupambana na mtu ambaye hawezi jitetea.

Kama huna Uzi, andika tu hata historia ya maisha yako tutacomment tu.
 
Ukitaka kujua alipendwa kiasi gani alisindikizwa mpaka uwanja wa ndege pale katika ile sehemu ya ndege kupaa, watu hawakujali mazingira yalikuwa vipi. Huyo ndio mtu wa watu anavyoagwa, aliyegusa maisha ya wengi.
Kweli aligusa (+ & -) maisha ya wengi, si alikuwa Raisi.
Walikuwamo wengi tu; wasiotaka kupitwa na kitu, majobless waliopata pa kwenda siku hiyo, ma pick pocket, akina 'Tomaso' na waliokuwa wameenda kuthibitisha kama mtesi, mjivuni kaondoka kweli.
 
Bora sabaya hajaacha watoto huku mtaani akifanikiwa kutoka sio chini ya umri wa miaka 87
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…