Sabaya ni Sura kamili ya Hayati Magufuli

Hata swala wakimuona simba ufikiria kuwa hivi huyu naye anastahili kuwa hata baba wa familia! Muovu sana huyu mpumbavu… nakiona kilio cha swala dhidi ya simba mkali, fortunately hata simba nao hufa mwisho wa siku…. Ecology kazini…
Soma mada uelewe,usionyeshe uzezeta wa kupindukia hapa
 
We jamaa ni mpumbavu wa kiwango Cha juu kabisa kuwahi kushuhudiwa katika kizazi hiki.
Kufa ni moja wapo ya sifa ya kiumbe hai.na so adhabu ya uovu fake unampa shujaa,Mwana wa afrika halisi,jemedari na kiboko ya mafisadi,na majizi mliokuwa mmezoea kuchuma bila kupanda the Great JPM Mwamba wa kanda ya ziwa.

Nitume na manabii wote walikufa,je nikwasababu waligombana na wazungu juu ya democracy?
Shujaa anawafirimba japo kafariki
Wewe ndo fala na mpumbavu kupindukia kabisa,jinga wahedi hujui hata neno la Mungu.
Wewe ukimwudhi Mungu unadhani utaishi? Unadhani kuishi Duniani ni kwa akili zako na Upumbavu wako?
Unajua ni kwanini Mungu aliamua viumbe vyote vife?
Unadhani kifo ni zawadi au ni process nzuri? Wewe Boya unapenda kufa? Kwanini Mungu anaishi milele hafi? Stupid sana wewe,kifo ni laana siyo Baraka mbuzi wewe.
Magufuli angekuwa mwema angeishi miaka 95 ,hujui kuwa Dhambi inapunguza umri wa kuishi Duniani?
Soma neno la Mungu kima pori wewe
 
Dogo ni mjinga wacha ale miaka...

Ujana wake aulie gelezani - akitoka atamkuta Jesca ana watoto 5 wa baba mbalimbali...dadadeq
 
Waseme hao watu ambao Magufuli aliwasababishia hizo shida, lete ushahidi Magufuli alihusikaje? Kama ni kifo hata baba yako atakufa tu, kama alishakufa basi mama ako yupo njiani kwenda kaburini.
Aliruhusu na kujivunia waziwazi maovu yaliyokuwa yanatokea chini yake.
 
kamaa tadinu tudanu,huwez kuwa muovu kisha upewe cfa njema hlo jamaaa lilikuwa na roho mbaya kwer kwer
We jamaa ni mpumbavu wa kiwango Cha juu kabisa kuwahi kushuhudiwa katika kizazi hiki.
Kufa ni moja wapo ya sifa ya kiumbe hai.na so adhabu ya uovu fake unampa shujaa,Mwana wa afrika halisi,jemedari na kiboko ya mafisadi,na majizi mliokuwa mmezoea kuchuma bila kupanda the Great JPM Mwamba wa kanda ya ziwa.

Nitume na manabii wote walikufa,je nikwasababu waligombana na wazungu juu ya democracy?
Shujaa anawafirimba japo kafariki
 
Aliitwa mpaka yesu huku mazuzu mkishangilia
Thibitisha kama muda wa kufa Magufuli haukufika, ilitakiwa afe akiwa na umri gani? Thibitisha sisi tulimponzaje mpaka magufuli akafa mapema, alafu unasema tulikua tukimwabudu, unaweza ukathibitisha huko kumwabudu tulifanya wapi na lini?

Kuongea uongo na kashfa hapa JF unadhani kutakusaidia? Unadhani unaijua siku yako ya kufa? Unajua utakufaje? Likes na comments za mitandaoni zisikutoe ufahamu ndugu yangu, sijui umri wako ila inaonekana ni mtoto mpumbavu.
 
Back
Top Bottom