Mukua
Senior Member
- Sep 30, 2021
- 156
- 202
Alijitabiria yeye mwenyewe kuwa akifa kaburi lake Lita stahili hata kuchapwa viboko.Fanya mambo mengine mbona dunia imejaa mengi ya kufanya. Acha kumsimanga hayati haikusaidii na wala haimsaidii huko alipo.
acha wenye makovu na majeraha walitandike Hadi hamu yao iishe.