Sabaya ni Sura kamili ya Hayati Magufuli

Magufuli alikuwa jambazi mkubwa aliyewahi kutokea hapa nchini. Hajui kutafuta hela kihalali na anawadanganya wapuuzi kwamba anatumia Kodi za watanzania hivi Kodi gani tunalipa mpaka serikali iweze kujitegemea na mamiradi yale ya kialinacha?

Hizi hela za wamachinga ndio zinajenga SGR, bwawa na umeme, barabara, madaraja, hospital, shule nk? Ni mtu mpumbavu ndio anaweza kukubali huu ujinga alipokuwa anawadanganya.

Simkubali hata kidogo
Wewe ni li shoga, huna la maana
 
Rais wa nchi kupitia Intelligence(Usalama wa Taifa) huwa anajua siri zote za watendaji wake, yaani kuanzia Vice President hadi mkuu wa Wilaya.

Rais anajua tabia zao,mienendo yao yote kwa ujumla anajua. Sasa Sabaya kahukumiwa kwa kufanya uhalifu wa kila aina, Hayati Magufuli alimjua vizuri sana Sabaya,kuwa ni mtu muovu asiyestahili kuwa hata Baba wa familia,lakini bado alimwacha afanye uovu wake wake, maana yake ni kwamba.

"I embrace him because he walks my ways"

Pumzika kwa amani Magufuli.
"I embrace him because he walks my ways"
 
Back
Top Bottom