Sabaya ni mfungwa, kwanini sasa havai sare za Magereza?!

Na wanafunzi je? Majaji je? Mawakili nao je? Vipi kuhusu manesi?? Mapairoti je? Hawa wote nao wanadhalilishwa?
Mkuu elewa point yangu.
Nazungumzia magwanda ya mfungwa.
Siongelei uniforms za kazi.

Hivi umeshawahi kufungwa?
Isije ikawa nabishana na mtu hajawahi kuwa prison...

Magwanda ya jela ni udhalilishaji.
 
Mkuu elewa point yangu.
Nazungumzia magwanda ya mfungwa.
Siongelei uniforms za kazi.

Hivi umeshawahi kufungwa?
Isije ikawa nabishana na mtu hajawahi kuwa prison...

Magwanda ya jela ni udhalilishaji.
Kujua jambo si mpaka likukute wewe ndugu..!!! Tunajuwa kuwa kuna kufa, kwani tulishawahi kufa?
Kufungwa kwenye tu unaweza kukuita ni udhalilishaji... Uniform ni uniform tu, iwe ya nesi au ya mfungwa..!!
 
Hakunaga jela Duniani isiyo na uniform mkuu
Dah..

Tembea uone mkuu..

Mergos Fleury France.
No uniforms.
Mwisho wa mwezi kila mfungwa unapewa euros 20 kama huna kazi.

Ukifanya kazi na utalipwa humo euros 250 au 350 kwa mwezi.

Kila mfungwa na chumba chake,fully TV ,fridge.

Na unachaguwa chakula.
Unanunuwa chochote ndani
Nimekwenda shule nk..

Mfungwa ana kabati lake la nguo.
Mkeo/ demu anakuja kukutembelea na kugegeda pia.

Usishupaze shingo kama huna unachokijuwa mkuu.
 
Kujua jambo si mpaka likukute wewe ndugu..!!! Tunajuwa kuwa kuna kufa, kwani tulishawahi kufa?
Kufungwa kwenye tu unaweza kukuita ni udhalilishaji... Uniform ni uniform tu, iwe ya nesi au ya mfungwa..!!
Kuna siku zamani Sana nilipokuwa mdogo niliwasikia jamaa fulani wakimzungumzia nyangumi.

Wanasema ana ukubwa ambao hata wavuvi wanaweza kuweka kambi juu yake wakidhani ni kisiwa..

Hayo ni maneno ya kijiweni yasio na ukweli wowote..


Maneno ya kusikia hayatokuwa Sawa na uhalisia.
 
Habari wanajukwaa wenzangu, Binafsi ningeomba wajuzi wa sheria na mambo ya magereza watujuze na sisi tusiojua basi!

Sote tunajua kwamba Mh. Sabaya alipatikana na hatia na kuhukumiwa kifungo cha miaka 30 jela. Wakati huo bado anakabiliwa na mashitaka mengine yanayo mfanya aendelee kufika mahakamani akiwa kama Mfungwa mwenye kesi nyingine.

Sasa kawaida tunavyojua ukishahukumiwa ni lazima upewe uniform za Gereza zilizo na namba ya kifungo chako kifuani. Sasa kwanini Sabaya havai uniform hizo ingali na yeye ni mfungwa tayari? Maana jamaa ananyuka suti tu View attachment 2071589
au inaruhusiwa ukiwa na kesi unaweza kuzivua ukavaa kiraia tu?

Mwenye kujua ebu atueleweshe.
Asante!
Idugunde, wewe ni mtu mbobezi kwenye masuala ya sheria na haki za binadamu. Hebu fanya uje utoe ufafanuzi kwa huyu mtoa mada.
 
Uniform ni udhalilishaji wa utu wa binadamu.

Hivi mfungwa anajisikiaje kuvaa nguo moja miaka 10?

Anajisikiaje siku akija kutembelewa na jamaa zake akiwa na magwanda?

Uniform ni moja Kati ya udhalilishaji wa mfungwa.
Bank wanavaa uniform,kampuni nyingi tu wanavaa. Sijui point yako inamaanisha nini
 
Anavaa Uniform za Ufungwa anapokuwa Jela,kwa kuwa ana Kesi nyingine hawezi kupelekwa Mahakamani na Uniform za Jela,anaenda kiraia,lakini akirudi Kisongo Jela anabadili na kuvaa Jezi yake ya Jela,ndio utaratibu
Walimu wetu walikuwa na kazi sana aisee. Huyu jamaa muuliza swali mbona hata mambo yalishafafanuliwa jaman
 
Kwa tafsiri ya sheria zetu, ikiwa mfungwa atapanda kizimbani na jezi za jela basi itaonekana kuwa ameshatiwa hatiani na mahakama na kuhukumiwa kifungo.
Anavaa nguo za home kwakuwa mashitaka haya hayana undugu na yale ambayo tayari kishahukumiwa
 
Bank wanavaa uniform,kampuni nyingi tu wanavaa. Sijui point yako inamaanisha nini
Mkuu kuna baadhi ya wafanyakazi wa kampuni au ofisi huwa wanaficha uniforms zao.
Na kuvalia kazini ,,

Hivi uliwahi kujiuliza kwann hawapendi kuvalia uniforms nyumbani?.
 
Dah..

Tembea uone mkuu..
Mimi nishafungwa France mwaka mzima.
Mergos Fleury.
No uniforms.
Mwisho wa mwezi kila mfungwa unapewa euros 20 kama huna kazi.

Ukifanya kazi na utalipwa humo euros 250 au 350 kwa mwezi.

Kila mfungwa na chumba chake,fully TV ,fridge.

Na unachaguwa chakula.
Unanunuwa chochote ndani
Nimekwenda shule nk..

Mfungwa ana kabati lake la nguo.
Mkeo/ demu anakuja kukutembelea na kugegeda pia.

Usishupaze shingo kama huna unachokijuwa mkuu.

Nimetoka na euros 2500.
Africa jela ni kukomoana na mateso.

Mkuu hebu andikia hii kitu uzi kabisa tujifunze zaidi
 
Back
Top Bottom