Sabaya ni mfungwa, kwanini sasa havai sare za Magereza?!

Fleury merigos.

Paris
France.

Na inchi nyingi za ulaya Mfano Swiss nk.

Wenzetu ulaya jela ni sehemu ya kukupotezea muda wako.
Na sio kuteswa au kukomolewa.
Na pia makosa machache sana utakuta yanafanana na ya Afrika hakuna kiongozi Ulaya atateka watu ili achukue pesa Bank ipo Nchi moja ilikua haina wafungwa kabisaa..ukisoma enzi zao kipindi cha maendeleo kulikua na watu wakatili sana mpaka kupelekea kujenga magereza hata nje ya Nchi zao ili kuwatenga waharifu...
 
Ifike mahali uniform za jela zipigwe marufuku.
Wavae nguo za kawaida Kama jela za ulaya.
Sio utaratibu, acha mtu afeel pinch ya kosa alilolifanya. Kitendo cha kuvaa hiyo sare ya kitamfamnya mhusika kupata maumivu na kujisikia vibaya anapotembelewa na ndugu, jamaa au marafiki na kumkuta katinga kivazi cha orange. Hiyo itamfanya anapomaliza adhabu yake anaporudi kwenye jamii awe makini kutokutenda tena matendo maovu, kwa kuhofia kurudi tena gerezani na kutinga kivazi.
 
Sawa mkuu ila nadhan ni magereza machache sana hawavai uniform maana naonaga magereza mengi sana ya huko duniani huwa wanavaa uniform za rangi ya orange, blue, white, grey ila wafungwa wanakua ni wasafi sana anapewa uniform hata zaidi ya mbili mashuka , msosi safi kibongo bongo unapewa uniform 1 alaf mnarundikana kinoma
Inchi nyingi za ulaya ya umoja wa shenghen hawavai magwanda.
 
Apo kakiazima simu kanamwandia ujumbe manzi wake...please kuwa mvumulivu usimpe MTU mpenz...mi natoka soon baby.I love you mama.
 
Siyo kweli.
Mbona sijasikia Polisi na wanajeshi kulalamika kuvalishwa sare maisha yao yote ya itumishi?
Police anavaa uniforms muda wote?
Au wakati akiwa on duty?
Pia mfungwa kama mfungwa kuna hali fulani anajisikia akiwa gerezani.
Ukimpa magwanda ndy kunamchanganya zaidi.

Ile hali ya kuvaa nguo za kawaida zinamfanya ajione huru kwa kiasi fulani..
Kutampunguzia msongo wa mawazo.

Jela yeyote kuna muda mnatolewa inje,
kuzungumza ,,
kupiga simu na kubadilishana mawazo.
Hapo ndipo wafungwa hukutana na kujifariji.

Yote hayo ni kumpa faraja mfungwa..

Kumbuka uniforms za kazi sio permanent ni temporary uniforms.

Lakini kwa mfungwa ni permanent uniforms kwa muda wote ukiwa gerezani..
 
Apo kakiazima simu kanamwandia ujumbe manzi wake...please kuwa mvumulivu usimpe MTU mpenz...mi natoka soon baby.I love you mama.
Mkuu ingelikuwa ndiye wewe unayeandikiwa msg za namna hiyo na mshorika wako akiwa jela utajisikiaje?
 
Sio utaratibu, acha mtu afeel pinch ya kosa alilolifanya. Kitendo cha kuvaa hiyo sare ya kitamfamnya mhusika kupata maumivu na kujisikia vibaya anapotembelewa na ndugu, jamaa au marafiki na kumkuta katinga kivazi cha orange. Hiyo itamfanya anapomaliza adhabu yake anaporudi kwenye jamii awe makini kutokutenda tena matendo maovu, kwa kuhofia kurudi tena gerezani na kutinga kivazi.
Wafungwa wengi walikuwa wanajinyonga kwa msongo wa mawazo.
Pia elewa kuwa jela ni kumnyima mtu Uhuru wake na sio kumtesa.

-Jela kuna library.
-TV.fridge,shuka white na blankets kila week unapewa zingine.
-Chumba peke yako au 2 -unachaguwa wa kuishi nae .
-Kama hamuendani unaomba kubadilishiwa au kukaa peke yako.
-Jela kuna gym na sports mbali mbali.
-Jela wanaletwa wasanii kuja kuperfom.
-Jela unavaa unachotaka.
-Jela unakutana na love partner wako na kusex.
-Jela Una account yako unawekewa -pesa na kufanya manunuzi mbali mbali.
-swiss mfungwa anapewa euros 250 kwa kila mfungwa.

Hakika wenzetu wapo 5 star hotel na sio jela..
 
Uniform ni udhalilishaji wa utu wa binadamu.

Hivi mfungwa anajisikiaje kuvaa nguo moja miaka 10?

Anajisikiaje siku akija kutembelewa na jamaa zake akiwa na magwanda?

Uniform ni moja Kati ya udhalilishaji wa mfungwa.
Vipi shule za msingi napo?
 
Na pia makosa machache sana utakuta yanafanana na ya Afrika hakuna kiongozi Ulaya atateka watu ili achukue pesa Bank ipo Nchi moja ilikua haina wafungwa kabisaa..ukisoma enzi zao kipindi cha maendeleo kulikua na watu wakatili sana mpaka kupelekea kujenga magereza hata nje ya Nchi zao ili kuwatenga waharifu...
Nilichojifunza kuhusu magereza ya Africa na ulaya.
- Africa makosa ya kawaida tunafunga watu miaka mingi kuliko makosa serious.
Ndy maana rushwa na ufisadi hauwezi kwisha milele.
- Africa jela ni motoni wakati ulaya jela ni sehemu ya kujifunza ulipojikwaa.
 
Hapo lazima ningeituliza mbunye mkuu
Hakiyamungu!

Lakini ni wachache sana wenye uvumilivu mtakatifu kama huo.

Ila jamaa kapambana na magumu ya kidunia hadi basi!

Kaklnda hadi kabadilika kwa muda tu huu mfupi!

Sielewi mustakabali wake huyu kijana.
 
Hatuko njia moja mkuu,mi huyu kijana sitaki hata kumsikia kiukweli
 
Hatuko njia moja mkuu,mi huyu kijana sitaki hata kumsikia kiukweli
Binafsi alipokuwa Dc na kutokeza mara nyingi kwenye media nilimuona kuwa ni mchapakazi wa mfano kwa jinsi alivyokuwa akitetea haki za watu.

Lakini hili la kutoka mkoa hadi mkoa mwingine kwenda kukamata limenionesha ukweli namna alivyotumia madaraka yake vibaya kwa ajili ya manufaa binafsi.

Na amejitajirisha kwa mali za dhulma kwa kipindi kifupi sana.

Utitiri wa mali na magari yanayotajwa mahakamani, si rahisi kwa mshahara na posho za Dc kumiliki yote hayo kwa muda mfupi wa kipindi chake, hata angelikopa!

Sasa likija suala la ubinadamu, ukiuvaa uhusika wake ndiyo unapomuonea huruma kwamba ningelikuwa mimi, utitiri wa kesi zote chafu chafu na hukumu nzito nzito ningeliishije katika mazingira hayo ya bila uhuru kumalizia maisha yangu?

Rufaa zake zikidunda na kwa hali aliyonayo si rahisi kuhimili kuishi maisha ya jela kwa miaka 20+ mfululizo akiwa hai.

Na mali alizopora zitakuwa zimemsaidia nini sasa!
 
Back
Top Bottom