Sabaya ataporudi uraiani kwa ushindi mkuu, Mbowe na wenzake watajisikia vipi?

Yaani nikionaga I'd ya huyu famba imeanzisha mada kwanza hua naanza kucheka kwanza kabla ya kuifungua thread maana hua Najua upupu na uharo aliouandika lazima amtaje Mbowe na Chadema Kama ndio kichaka chake Cha lawama

Idugunde bwana unafurahisha Sana!
Wewe ni nyumbu kipofu Toka mataga

Idugunde=shost yake sabaya!
 
Visasi vya kisiasa mara nyingi huzaa malicious prosecution. Malicious prosecution huharibu maisha ya watu kwa kuvuruga maisha yao na hata nyadhifa zao.

Mpaka sasa inaonekana prosecution walitumika vibaya ili wamharibie maisha yake ya kisiasa Sabaya. Yote hii ni kumpa furaha mwanasiasa Mbowe.

Mpaka sasa prosecution wanahangaika kama mtoto mdogo aliyemsingizia mwenzake kuiba peremende ili siku ipishe.

Soon Sabaya anarudi uraiani huku Mbowe akipata aibu maana hakuna cha ziada alichovuna, ubunge wa Hai alishapoteza.

Wapi uliona Mwenyekiti wa usalama wa wilaya akachukua Ak 47 kwenda kupora sh laki tatu?
unamtetea mume......
 
Yaonekana ulikuwa unakula mezani kwa Sabaya, lakini waonaje ukiwa na subira japo kidogo usije ukakosa hata pa kuficha uso.
 
CCM hata mkitaka kumwachia jamaa yenu leo ni sawa tu, CDM huwa hai deal na vitu vidogo vidogo - chanzo cha jamaa kufanya hayo yote ndiyo kiini...kinashughulikiwa.

Karibu Mwanza kesho update elimu ya bure bwa mdogo.
 
Wewe ni muuaji kwa mawazo yako ya kishenzi kabisa ya kumshabikia muuaji mwenzako Sabaya na genge lake huku ukifikiri Sabaya anasota kwa sababu ya Mbowe! Haki ni kwa watanzania na sio kwa Mbowe pekee! Na katika mashtaka ya Sabaya hakuna hata moja ya mashtaka hayo yanatoka kwa Mbowe! Ni waendesha mashtaka wa serikali waliomshtaki Sabaya na sio Mbowe. Hujui chochote cha maana ndio sababu unawaza ushenzi mtupu.
Wewe pimbi nambie sabaya kamuua nani? Mashitaka ya sabaya kuna hata moja la mauaji au maropoka hapa tu.
 
Back
Top Bottom