Sabaya amekuwa mfano mzuri wa wanaojifanya kutumwa na mamlaka za juu. Wengine kaeni mguu sawa

Yaani ni raha hureeeeeeee, 2025 CCM ijipange kutoa rushwa. Pamoja na kuwa Sabaya kwa kweli alikeuka miiko ya utumishi, ila kwa kazi alizofanya za kufifisha upinzani alipaswa CCM wamlinde, ila sasa ndiyo basi. Kitakachoendelea sasa ni wateuliwa kupiga (hasa wale ambao ziyo wazalendo). Na hii trendi ya uharamia wa Sabaya hayupo peke yake, kwenye taasisi nyingi za umma kuna ka kikundi kaliko tumia jina na ukali wa Dkt Magufuli kujifanya wametumwa then wanaomba rushwa ili wasifikishe tuhuma zao kwa rais, kitu ambacho watu wengi waliogopa sana kufikishwa kwa Dkt Magufuli hivyo ilibidi watoe rushwa. Kwa hii issue Sabaya katumika kama kafala ila waliofanya huo uovu wanaweza kuwa wengi sana. Ndiyo maana Mama anapotoa maagizo yake awe specific sana lasivyo watafanya kama kwa Dkt Magufuli (mfano kuna kipindi Dkt Magufuli alipokuwa waziri wa mifugo na akapiga marufuku mifugo kuhama hama, basi kuna njemba walijitokeza tokea pande zote tiss polisi wakafanya msako kuna msukuma alipoteza ng'ombe mia 600, na walitumia kauli ya waziri). In short vetting inahitaji irekebishwe, irudi kama zamani yaani vetting siyo miezi iwe miaka na pawe na pool ya watu waliofanyiwa vetting kurahisha kazi za uteuzi.
Hapa ninakubaliana kuwa misingi ya vetting ifuatwe na fedha na logistiv zitolewe kikamilifu kwa ajili ya vettin ya muda mfupi na mrefu na ile endelevu kwa kila kiongozi lakini pia matokeo ya vetting yaheshimiwe na mamlaka aidha vetting zisibebe fitna majungu na bila kutumika vibaya kwa kukomoa watu
 
Kwa akili yako hizo pesa ni hao wawili pekee ndo walichukua.
Sheria za dabo standard hizo
Ndiyo maana wachukuliwe wote hatua hao wawili ndiyo vichwa wa ilo tukio.kumbe mnajua pesa zilichukuliwa .....sasa mbona mnasema ushahidi ..kima nyinyi
 
Hujui kesi ya kisasi cha haki ya kinafiki ni za jinsi gani ? Kasome biblia kuhusu mfalme Daudi alipo letewa kesi ya mtu na kondoo wake nini kilitokea ? Yaani unahukumu hukumu ya haki ila uliyo yafumbia macho au uliyo yatenda wewe ni mabovu kuliko uliyo ya hukumu
 
Back
Top Bottom