Inna
JF-Expert Member
- Jan 13, 2017
- 11,194
- 27,097
[emoji106] [emoji106]Jirani... mambo mengine Sio vizuri kuya eksipoz.. wewe ukiwa free nigongee kwangu nikupe A-z.
[emoji106] [emoji106]Jirani... mambo mengine Sio vizuri kuya eksipoz.. wewe ukiwa free nigongee kwangu nikupe A-z.
aisee ukitaka undugu uishe kabisa umzoee huyu mtoto Inna yani tutaita kikao cha familia, kwingine kote ruka ruka ila hapo uwe na mstari hata kama ni jirani.. hio ndio roho yangu na nampa maneno mwenyewe sitaki msaada wako.Jirani... mambo mengine Sio vizuri kuya eksipoz.. wewe ukiwa free nigongee kwangu nikupe A-z.
Haha... haya bro kila la kheri ni kisu namjua fanya yakoaisee ukitaka undugu uishe kabisa umzoee huyu mtoto Inna yani tutaita kikao cha familia, kwingine kote ruka ruka ila hapo uwe na mstari hata kama ni jirani.. hio ndio roho yangu na nampa maneno mwenyewe sitaki msaada wako.
si unaona viazi wengina nakuomba unipe mistari.. ila ukishaleta mistari yako nikiwapa wananikimbia wanakuja kwako ila hap ..hujasikia hata sku moja nikikuambia unisaidie kitu..ndio ujua kuwa unatakiwa ukae mbali kabisa..mambo ya ujirani yaishie kwenye text tu
we kichwa sana brother..Haha... haya bro kila la kheri ni kisu namjua fanya yako
Duh tens Babar ndio hioduuuh
Mmmhhh