Sababu zinazowafanya wanawake wengi kufia "kitandani"

Sababu zinazowafanya wanawake wengi kufia "kitandani"

Kumbe ndo hivyo na ww uliponea chupuchupu nini Pole kwa maswaibu
 
Bila shaka we bado uko kwenye 18s . Mawazo yako ya kitoto. Eti wanaume wa mkoani hawana pesa na wanazipata kwa taabu. Naomba nikusahihishe. Kwani unaposema mkoa we upo wapi? Na huo mkoa ni mkoa gani? Wanaume wa da ndo maskini na hupata pesa kwa taabu mf kutapeli.kudhurumu .kuiba.kupewa na mijimama. Kuuza unga nk. Alafu jawana akili kwani hudhani kuhonga ni maendeleo na hivyo ni sehemu ya maisha. Alafu game hawaliwezi wanagusagusa tu watoto wa watu.
Mwambie asituchukulie Poa aje uku aone miradi tunayokimbiza anadhani sisi ni wa vijiweni na kunywa kahawa
 
Back
Top Bottom