Sababu zilizopelekea niache kuvuta Crack

Nawengi sana ukiangalia utakuta crew yake yote wapo hivo hivo, ila nafikiri kingine ni mindset ya mtu tu, kuna watu wana crew kama hivo lakini unamkuta sio mtumiaji.
Wengi hufanya vitu kuwafuraisha marafiki mwisho wa siku wanapotea pia madawa unaweza ukawa hutumii marafiki wakaanza kukuchanganyia Hadi unakuwa addicted refer case ya Ray c
 
Wengi hufanya vitu kuwafuraisha marafiki mwisho wa siku wanapotea pia madawa unaweza ukawa hutumii marafiki wakaanza kukuchanganyia Hadi unakuwa addicted refer case ya Ray c
Case ya Ray C ifute kabisa akilini mwako kwa namna ulivyokuwa unaaminishwa.
 
Ulevi wa Kunusa wandugu usikieni tu, kama hujawahi kuwa Mhanga wa hili basi usije ukakaa uujaribu.

Mara zote huwa Namshukuru Muumba kwa kuninusuru kwenye hatua za awali kabisa kwani nadhani ndiko nilikokuwa naenda kutopea. Hii ni baada ya kutoridhika na Ulevi wa Whisky, nikahamia kwenye ulevi wa Spirit. Navyosema Spirit sio pombe ya kunywa au ile ya Saloon, hii ilikuwa ni ile ya Laboratory za Chemistry
Nimetoka hapo nikaanza kuvuta Petrol, nikikosa Petrol napoza na Ugoro. Hakika Mungu ni Mwema.
 
Tafuta series inaitwa Drugs Inc...kule utajionea mambo yote. How drugs are being produced, transported, supplied and abused.

Utajua nicknames/slangs za drugs, drug sellers, users, drug producers etc

Bonge moja la documentary kuhusu madawa ya kulevya.

Kuna kitu inaitwa molly (ecstasy pills) madem wanazimeza sana ili kupata stimu haraka. Kuna mmoja aliichanganyia tungi ikamchukua jumla.
 
Huku bongo wanalishwa takataka aisee nimefatilia jinsi cocaine inavotengenezwa huko America Hadi ifike huku I'm sure hamna anaye afford ile original yake maana hizo crack's tu zilivo ni shida na hatari kwa mtumiaji
Hakuna cocaine safi mkuu, ingekuwa safi basi hata mapapa wa hii biashara kama pablo na el chapo wangetumia, maana wenyewe mzigo wao ulikuwa wa kiwango sana. Hivi vitu ni vya kuuza tu sio kutumia
 
Bange ni kama Pombe mzee itakuharibu endapo hautofuata masharti yake.

Kilichoanza kuniharibu si bange ni Crack, japo nafahamu kuwa wagonjwa wengi wa akili walioko Mirembe wengi walikuwa wavuta bange.
Lakini unavuta bange unaishi wapi?, unavuta bange unakula nini?, unavuta bange unajishughulisha na nini ili upate kipato chako?

For my side bange haijawahi kunidhuru hadi pale nilipoijua crack, na bila ya bange ningefeli vibaya sana shule.
NB; Sishauri yeyote avute.
Ndio maana nimesisitiza mtu akifikia mbali kwenye maamuzi ya starehe aishie tu kwenye bangi maana hii hata kuna nchi zinaruhusu kuvuta kwa kua ina benefits, Hali kadhalika hapa tu bongo vijana hasa wa kiume 6 kati ya kumi wamewahi kujaribu bangi, ikitumika fresh, Ila unapovuka zaidi ya hapo na kwenda kutumuia crack cocaine, cocaine, heroin, meth, n.k unakuwa unahatarisha afya ya akili.

Anyway nimependa uamuzi wako wa kufungua hii thread, nina uhakika kwa namna moja au nyingine testimony yako itasaidia wengine walioko kwenye uraibu wa madawa.
 
Hakuna cocaine safi mkuu, ingekuwa safi basi hata mapapa wa hii biashara kama pablo na el chapo wangetumia, maana wenyewe mzigo wao ulikuwa wa kiwango sana. Hivi vitu ni vya kuuza tu sio kutumia
Cocaine inapotengenezwa huko Colombia hufata procedure zote maana ile hupandwa na inakuwa ka unga, Sasa hii inayokuja huku vile expensive huchaganywa Hadi na baadhi ya sumu ka za panya na other dangerous chemicals ili kuongeza ukali, ndo hzo huitwa cracks
 
Mtu anayetumia Cocaine hawezi kuropoka kama Gigy na inakuwa si rahisi kumgundua as long as ana pesa.

Unaweza ukashangaa lakini Pombe inafanya hayo huyo Gigy ni mtumiaji mzuri sana wa pombe kali kimtaani wanaziita Makausha K ndizo zinamfanya awe hivyo.

And we mens really enjoy that anachezewa michezo yote michafu.
Duuh Mzee we ni Hatari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cocaine inapotengenezwa huko Colombia hufata procedure zote maana ile hupandwa na inakuwa ka unga, Sasa hii inayokuja huku vile expensive huchaganywa Hadi na baadhi ya sumu ka za panya na other dangerous chemicals ili kuongeza ukali, ndo hzo huitwa cracks
mmea unaitwa "coca" plant, ukitengenezwa kwa kuchanganywa na kemikali nyingine ili ukamuliwe kilevi chake ndio huwa unakua unga huu tunaoita cocaine na ndio wanaongezea sumu za panya hapa hii stage wengine huweka hata cement wakiamini unga huo utakua na kiwango kikubwa cha kilevi. hio crack cocaine ni kama cocaine ya mtu maskini asieweza kugharamia cocaine ule unga ambao ni bei sana, crack unachukua unga wa cocaine kidogo tu unachanganya na baking powder unapata vimawe mawe ndio inaitwa crack cocaine, crack hii ina madhara makubwa sana kuliko hata cocaine.

yote kwa yote cocaine na crack cocaine ni madawa mabaya
 
Sasa mbona wale mateja wa stend wanayumba na kupepesuka ovyo? Wachafuuu..mimate duh
Hao wateja uliozoea kuwaona wengi hawana makazi maalumu na hawana uhakika wa kula.

Unapotumia cocaine au crack ni lazima uwe na uhakika wa kuipata tena utakapoihitaji, so nini wanafanya wanakuwa viokote ili wapate pesa ya kununua nyingine hapo hawana time kabisa ya kula, na drug nyingi zina tabia ya kufanya usihisi njaa.

Usiku ukifika inabidi akaombe chakula au atakula hata dampo na anapolala pia sio sehemu nzuri hawezi kufanana na sie ambao tunafanya kazi, tunalala sehemu nzuri na kula vizuri.
 
Back
Top Bottom