Sababu zifuatazo zinadhihirisha watanzania sasa wanamwelewa Mh Magufuli

Aseme pia nyumba za serikali alizowagawia makahaba wake zimerudishwa serikalini

Na lowasa aseme lini wataacha kuwakamua watanzania kupitia richmond a.k.a dowans.

Kazi mnayo hadi 2020 mtakuwa mnalia kila siku mwisho machozi yatawakauka
 
1. Elimu bure kuanzia awali hadi form four inatekelezwa kwa vitendo.

2. Mahakama ya mafisadi imeshakamilika

3. Ndege sita zimeshanunuliwa mbili zimeshawasili.

4. Tatizo la madawati sasa ni historia nchini

5. Mafisadi kama kina Sioi wakwe wa Lowasa wameshafikishwa kwa Pilato.

6. Maandamano ya kijinga jinga hakuna..

7. Watumishi hewa hakuna na ameokia mabilioni kibao hapa.

8 .Wanafunzi hewa hakuna

9. Nidhamu ya watumishi imeongezeka kwa asilimia 90

10. Cuf imedhibitiwa vizuri huko Zanzibar na wananchi wana amani sasa.

11. Mbowe kashaisoma namba pale NHC japokuwa mnajifariji kesi kashinda subirini muone mwisho wa mchezo.

12. Mzee kingunge kashakata pumzi na sasa anatembelea bajaji.

13. Lowassa katika historia ya maisha yake hakuwahi kukamatwa na Polisi lakini kabla Magufuli hajakamilisha mwaka kashamnasa na kukojolea ndoo.

14. Lisu kapotea hathubutu tena kutamka neno Dikteta Uchwara.

15. Upanuzi wa barabara ya airport Mwanza.

16. Barabara za juu zimeshaanza Dar

17. Mabasi ya mwendokasi yameshaanza kufanya kazi.

18. Daraja la Kigamboni kashalizindua

19. Mabehewa mapya ya tren yameshaingia.

20. Katusaidia kudhibiti nidhamu ya bunge kwa kumtuma mwanamke wa shoka Dr Tulia.

21. Karekebisha diplomasia yetu na Rwanda.

22. Kadhibiti wakwepa kodi pale bandarini.

23. Kashazindua ujenzi wa reli ya treni ya umeme.

24. Kagawa vitanda nchi nzima.

25. Umeme wa Rea unashika kasi huko vijijini.

26. Upanuzi wa Bandari ya mtwara.

27. Maelfu ya KM ya barabara za Lami zinajengwa kila mkoa nchini.

28. Kadhibiti nidhamu ya watumishi wa Umma.

29. Ujenzi wa viwanda 2500+ kila mahala hapa nchini.

30. Karudisha nidhamu ya wawekezaji sio kuifanya TZ shamba la bibi.
Naomba tofauti ya namba 9 na namba 28
 
Kati ya wajinga duniani, wewe ni namba moja
 
Hongera sana mke wa Bashite. Ila nikushauri tu
Kuijenga na kuipa nguvu ccm haitaji kutumia nguvu yyte ni sawa na msanii akishajua hadhira yake wala hamsumbui.
Tatizo la lilianza pale ******** alipofuta ajira, helsb 15%, kufuta fao la kujitoa, kumlinda jambaz la elimu na kufuta increment. Nyie mteke watu lkn huwez kuwalazimisha watu wawe ccm hata siku moja.
Siyo siri, vitu hivyo ndivyo vinavyonifanya nimuone mwenyekiti wenu ni dikiteta. Namchukia sana

Nimesoma ila unaowaongelea siwafahamu.
 
1. Elimu bure kuanzia awali hadi form four inatekelezwa kwa vitendo.

2. Mahakama ya mafisadi imeshakamilika

3. Ndege sita zimeshanunuliwa mbili zimeshawasili.

4. Tatizo la madawati sasa ni historia nchini

5. Mafisadi kama kina Sioi wakwe wa Lowasa wameshafikishwa kwa Pilato.

6. Maandamano ya kijinga jinga hakuna..

7. Watumishi hewa hakuna na ameokia mabilioni kibao hapa.

8 .Wanafunzi hewa hakuna

9. Nidhamu ya watumishi imeongezeka kwa asilimia 90

10. Cuf imedhibitiwa vizuri huko Zanzibar na wananchi wana amani sasa.

11. Mbowe kashaisoma namba pale NHC japokuwa mnajifariji kesi kashinda subirini muone mwisho wa mchezo.

12. Mzee kingunge kashakata pumzi na sasa anatembelea bajaji.

13. Lowassa katika historia ya maisha yake hakuwahi kukamatwa na Polisi lakini kabla Magufuli hajakamilisha mwaka kashamnasa na kukojolea ndoo.

14. Lisu kapotea hathubutu tena kutamka neno Dikteta Uchwara.

15. Upanuzi wa barabara ya airport Mwanza.

16. Barabara za juu zimeshaanza Dar

17. Mabasi ya mwendokasi yameshaanza kufanya kazi.

18. Daraja la Kigamboni kashalizindua

19. Mabehewa mapya ya tren yameshaingia.

20. Katusaidia kudhibiti nidhamu ya bunge kwa kumtuma mwanamke wa shoka Dr Tulia.

21. Karekebisha diplomasia yetu na Rwanda.

22. Kadhibiti wakwepa kodi pale bandarini.

23. Kashazindua ujenzi wa reli ya treni ya umeme.

24. Kagawa vitanda nchi nzima.

25. Umeme wa Rea unashika kasi huko vijijini.

26. Upanuzi wa Bandari ya mtwara.

27. Maelfu ya KM ya barabara za Lami zinajengwa kila mkoa nchini.

28. Kadhibiti nidhamu ya watumishi wa Umma.

29. Ujenzi wa viwanda 2500+ kila mahala hapa nchini.

30. Karudisha nidhamu ya wawekezaji sio kuifanya TZ shamba la bibi.
Hapo Tungoje vijana WA matusi na wapingaji ila Ukweli ndio huo na bado
 
55fd61f1cbf4ff51f4a447e5e5a10b92.jpg
 
Hakika, hakuna kama Magufuli , Haya ndiyo mabadiliko ya kweli tuliyokuwa tunayataka . Viva raisi Magufuli ongeza spidi,
 
1. Elimu bure kuanzia awali hadi form four inatekelezwa kwa vitendo.

2. Mahakama ya mafisadi imeshakamilika

3. Ndege sita zimeshanunuliwa mbili zimeshawasili.

4. Tatizo la madawati sasa ni historia nchini

5. Mafisadi kama kina Sioi wakwe wa Lowasa wameshafikishwa kwa Pilato.

6. Maandamano ya kijinga jinga hakuna..

7. Watumishi hewa hakuna na ameokia mabilioni kibao hapa.

8 .Wanafunzi hewa hakuna

9. Nidhamu ya watumishi imeongezeka kwa asilimia 90

10. Cuf imedhibitiwa vizuri huko Zanzibar na wananchi wana amani sasa.

11. Mbowe kashaisoma namba pale NHC japokuwa mnajifariji kesi kashinda subirini muone mwisho wa mchezo.

12. Mzee kingunge kashakata pumzi na sasa anatembelea bajaji.

13. Lowassa katika historia ya maisha yake hakuwahi kukamatwa na Polisi lakini kabla Magufuli hajakamilisha mwaka kashamnasa na kukojolea ndoo.

14. Lisu kapotea hathubutu tena kutamka neno Dikteta Uchwara.

15. Upanuzi wa barabara ya airport Mwanza.

16. Barabara za juu zimeshaanza Dar

17. Mabasi ya mwendokasi yameshaanza kufanya kazi.

18. Daraja la Kigamboni kashalizindua

19. Mabehewa mapya ya tren yameshaingia.

20. Katusaidia kudhibiti nidhamu ya bunge kwa kumtuma mwanamke wa shoka Dr Tulia.

21. Karekebisha diplomasia yetu na Rwanda.

22. Kadhibiti wakwepa kodi pale bandarini.

23. Kashazindua ujenzi wa reli ya treni ya umeme.

24. Kagawa vitanda nchi nzima.

25. Umeme wa Rea unashika kasi huko vijijini.

26. Upanuzi wa Bandari ya mtwara.

27. Maelfu ya KM ya barabara za Lami zinajengwa kila mkoa nchini.

28. Kadhibiti nidhamu ya watumishi wa Umma.

29. Ujenzi wa viwanda 2500+ kila mahala hapa nchini.

30. Karudisha nidhamu ya wawekezaji sio kuifanya TZ shamba la bibi.
Ameleta bomba la mafuta kutoka uganda. Uganda ina hifadhi ya mafuta takriba pipa 6.5 bilioni. Wanategemea kwa siku kizalisha pipa laki 2. Tanzania itapata dola za kimarekani 12 kwa kila pipa. Inamaana tz itapata $2400000 kwa siku. Na zaidi ya watu wlfu 20 wataajiriwa. Hii ni muhim sana kwenye uchumi wa Tz ilisahau nakukumbusha. Waliopita waligombana na kila jirani yetu.
 
Back
Top Bottom