Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,581
1. Elimu bure kuanzia awali hadi form four inatekelezwa kwa vitendo.
2. Mahakama ya mafisadi imeshakamilika
3. Ndege sita zimeshanunuliwa mbili zimeshawasili.
4. Tatizo la madawati sasa ni historia nchini
5. Mafisadi kama kina Sioi wakwe wa Lowasa wameshafikishwa kwa Pilato.
6. Maandamano ya kijinga jinga hakuna..
7. Watumishi hewa hakuna na ameokia mabilioni kibao hapa.
8 .Wanafunzi hewa hakuna
9. Nidhamu ya watumishi imeongezeka kwa asilimia 90
10. Cuf imedhibitiwa vizuri huko Zanzibar na wananchi wana amani sasa.
11. Mbowe kashaisoma namba pale NHC japokuwa mnajifariji kesi kashinda subirini muone mwisho wa mchezo.
12. Mzee kingunge kashakata pumzi na sasa anatembelea bajaji.
13. Lowassa katika historia ya maisha yake hakuwahi kukamatwa na Polisi lakini kabla Magufuli hajakamilisha mwaka kashamnasa na kukojolea ndoo.
14. Lisu kapotea hathubutu tena kutamka neno Dikteta Uchwara.
15. Upanuzi wa barabara ya airport Mwanza.
16. Barabara za juu zimeshaanza Dar
17. Mabasi ya mwendokasi yameshaanza kufanya kazi.
18. Daraja la Kigamboni kashalizindua
19. Mabehewa mapya ya tren yameshaingia.
20. Katusaidia kudhibiti nidhamu ya bunge kwa kumtuma mwanamke wa shoka Dr Tulia.
21. Karekebisha diplomasia yetu na Rwanda.
22. Kadhibiti wakwepa kodi pale bandarini.
23. Kashazindua ujenzi wa reli ya treni ya umeme.
24. Kagawa vitanda nchi nzima.
25. Umeme wa Rea unashika kasi huko vijijini.
26. Upanuzi wa Bandari ya mtwara.
27. Maelfu ya KM ya barabara za Lami zinajengwa kila mkoa nchini.
28. Kadhibiti nidhamu ya watumishi wa Umma.
29. Ujenzi wa viwanda 2500+ kila mahala hapa nchini.
30. Karudisha nidhamu ya wawekezaji sio kuifanya TZ shamba la bibi.