Sababu za UKAWA kukaribia kusambaratika

Sababu za UKAWA kukaribia kusambaratika

masopakyindi

Platinum Member
Joined
Jul 5, 2011
Posts
18,409
Reaction score
14,116
Sasa ni karibia wiki ya tatu hivi tangu chama tawala kutangaza mgombea wake wa Urais, Mh. John Pombe Magufuli.
Hapo nyuma UKAWA walisikika wakitamba kuwa wanamsubiri kwa umakini mkubwa mgombea wa CCM, ili wajipange kumsambaratisha.

Baada ya uteuzi wa mgombea wa CCM, UKAWA ni kama wameingia kizunguzungu na kigugumizi, maana mahesabu yao yamegota vibaya.

Kinachoonejana dhahiri ni kwamba uhai wa UKAWA unapewa uhalali tu na makosa ya chama tawala. Chama tawala kinapo weka mambo yao safi na kwa umakini, UKAWA wanaishiwa hoja na uhalali wa kisiasa, kwa vile wao wenyewe hawana unifying ideology, apart from being reactionary!

Tunachoshudia hivi sasa katika UKAWA, kushindwa vibaya kukubaliana juu ya mgombea wao urais ni kiekelezo tosha kuwa UKAWA ni utapeli wa kisiasa kati ya mambumbumbu wanao wania urais.
Hawajui nni awawakilishe na hawajui huko wanaenda kufanya nini.

Hii ni hatari kubwa!
Watu wanaonadiwa na mamluki wa kibiashara inaelekea watainunua UKAWA wakati wowote ule na ni kwa nia moja tu, kukamata dili zote za dola ili wanufaike kiuchumi.

Lakini wananchi makini wanaendekea kugutuka.
Tunajua kuwa hata wapinzani ni watanzania na huko kuna watu makini kitaifa.
Simpigii debe Dr Skaa lakini haingii akilini Dr Slaa kumtangaza Lowassa kuwa fisadi, halafu kula matapishi yake bila maelezo na kumkaribisha fisadi huyo huyo kukipigia debe chama chao.

Maendeleo ya Tanzania ni kuwa na upinzani makini utakao sahihisha kama sio kupiku chama tawala.

Kwa ujinga huu wa kukumbatia ufisadi ulio temwa na chama tawala, UKAWA unawakaribisha kina Rosta na Karamagi and co. iliwagawane rasilmali za nchi hii.

Mungu bariki, mpaka hivi sasa ndani ya UKAWA ni mtafaruku wa kukaribia kusambaratika kwani hawajui wanaenda Ikulu kufanya nini na kwa madhumuni gani kwa mwananchi wa kawaida.

Sumu haionjwi.
 
Utasambalatika wewe na ukoo wako wa panya lakini ukwa itakuwa pale pale.

Swissme
 
Issue ni Mfumo Mbaya Ndani ya CCM, Mfumo unaotoa Mwanya wa Kujinufaisha Wanyenafasi za Uraji Huku wengi Wanyonge Wakiachwa Pembezoni.

Lowassa Hana tatizo, Tatio ni CCM wala si Mtu.
 
Wewe endelea kutumika kama punda ndani ya magamba
 
Huo ndo ukweli kabisa
 
Angalia unavyotumika
 
Attachments

  • 1437847629104.jpg
    1437847629104.jpg
    7.9 KB · Views: 666
umeongea ukweli hawa jamaa sijui jama wanaakili au matope pinda alushasema watapigwa tuu hakuna namna wapigwe tuuu na Mzee mamvi wao
 
Sasa ni karibia wiki ya tatu hivi tangu chama tawala kutangaza mgombea wake wa Urais, Mh. John Pombe Magufuli.
Hapo nyuma UKAWA walisikika wakitamba kuwa wanamsubiri kwa umakini mkubwa mgombea wa CCM, ili wajipange kumsambaratisha.

Baada ya uteuzi wa mgombea wa CCM, UKAWA ni kama wameingia kizunguzungu na kigugumizi, maana mahesabu yao yamegota vibaya.

Kinachoonejana dhahiri ni kwamba uhai wa UKAWA unapewa uhalali tu na makosa ya chama tawala. Chama tawala kinapo weka mambo yao safi na kwa umakini, UKAWA wanaishiwa hoja na uhalali wa kisiasa, kwa vile wao wenyewe hawana unifying ideology, apart from being reactionary!

Tunachoshudia hivi sasa katika UKAWA, kushindwa vibaya kukubaliana juu ya mgombea wao urais ni kiekelezo tosha kuwa UKAWA ni utapeli wa kisiasa kati ya mambumbumbu wanao wania urais.
Hawajui nni awawakilishe na hawajui huko wanaenda kufanya nini.

Hii ni hatari kubwa!
Watu wanaonadiwa na mamluki wa kibiashara inaelekea watainunua UKAWA wakati wowote ule na ni kwa nia moja tu, kukamata dili zote za dola ili wanufaike kiuchumi.

Lakini wananchi makini wanaendekea kugutuka.
Tunajua kuwa hata wapinzani ni watanzania na huko kuna watu makini kitaifa.
Simpigii debe Dr Slaa lakini haingii akilini Dr Slaa kumtangaza Lowassa kuwa fisadi, halafu kula matapishi yake bila maelezo na kumkaribisha fisadi huyo huyo kukipigia debe chama chao.

Maendeleo ya Tanzania ni kuwa na upinzani makini utakao sahihisha kama sio kupiku chama tawala.

Kwa ujinga huu wa kukumbatia ufisadi ulio temwa na chama tawala, UKAWA unawakaribisha kina Rosta na Karamagi and co. iliwagawane rasilmali za nchi hii.

Mungu bariki, mpaka hivi sasa ndani ya UKAWA ni mtafaruku wa kukaribia kusambaratika kwani hawajui wanaenda Ikulu kufanya nini na kwa madhumuni gani kwa mwananchi wa kawaida.

Sumu haionjwi.

Mkuu acha unafiki, Hauijengi CCM bali unaibomoa.

Maswali wanaojiuliza wananchi ni magumu kuliko haya unayoyarahisisha hapa.

Kwanini CCM haikumchukulia hatua "fisadi" huyu?

Ni Lini CCM ilimtema, kama unavyoainisha hapa?

Inasemekana Lowassa ndio ana mpango wa kuitema CCM, sio CCM imemtema LOWASSA.
 
Issue ni Mfumo Mbaya Ndani ya CCM, Mfumo unaotoa Mwanya wa Kujinufaisha Wanyenafasi za Uraji Huku wengi Wanyonge Wakiachwa Pembezoni.

Lowassa Hana tatizo, Tatio ni CCM wala si Mtu.

Kwa statement hii inabidi Dr Slaa aliyetoa LIST OF SHAME ajiuzulu siasa.
 
Mkuu acha unafiki, Hauijengi CCM bali unaibomoa.

Maswali wanaojiuliza wananchi ni magumu kuliko haya unayoyarahisisha hapa.

Kwanini CCM haikumchukulia hatua "fisadi" huyu?

Ni Lini CCM ilimtema, kama unavyoainisha hapa?

Inasemekana Lowassa ndio ana mpango wa kuitema CCM, sio CCM imemtema LOWASSA.
Mkuu una LOWASSAMANIA , upenzi wa kiza kiza na Ulowassa!
Nafikiri huna habari kuwa kitambo sasa Lowassa KAKATWA!
 
Ukiona mtu ameweza kufungua account jf ujue ana uelewa wa kutosha hivyo hizi propaganda mlizosomeshwa na ccm hazitaweza kubadilisha ukweli kuwa uongo ccm waliisha fanya yao hawakushinikizwa na mtu yeyote tulieni basi na ukawa wafanye yao mbona hamlali kisa ukawa nyie vipi ?
 
Wewe endelea kutumika kama punda ndani ya magamba
CUF wameshajito toka ujinga huu wa kukaribisha makapi ya CCM.
Ukawa kwa kweli ni vurugu tupu, watu wanajali personalities kuliko kutumikia wananchi.
Lowassa akiingia Ukawa ntapishana naye mlangoni.
 
Nashangaa wasiohusika ndo wanapiga kelele wakati UKAWA wenyewe wametilia tuliiii!!! UKAWA walishashasema kuwa watamtangaza mgombea wao tarehe 4 Agosti! Basi !!
 
Ukweli mchungu huu chadema hawataki kuusikia lakini tayari upo jukwaai endelea kutoa elimu ya uraia mkuu watakuelewa tu.
 
Mkuu acha unafiki, Hauijengi CCM bali unaibomoa.

Maswali wanaojiuliza wananchi ni magumu kuliko haya unayoyarahisisha hapa.

Kwanini CCM haikumchukulia hatua "fisadi" huyu?

Ni Lini CCM ilimtema, kama unavyoainisha hapa?

Inasemekana Lowassa ndio ana mpango wa kuitema CCM, sio CCM imemtema LOWASSA.

Du, Siku hizi MUSSA ALLAN umebadilika sana
 
Last edited by a moderator:

Back
Top Bottom