hii kali tena, du!Issue ni Mfumo Mbaya Ndani ya CCM, Mfumo unaotoa Mwanya wa Kujinufaisha Wanyenafasi za Uraji Huku wengi Wanyonge Wakiachwa Pembezoni.
Lowassa Hana tatizo, Tatio ni CCM wala si Mtu.
hii kali tena, du!Issue ni Mfumo Mbaya Ndani ya CCM, Mfumo unaotoa Mwanya wa Kujinufaisha Wanyenafasi za Uraji Huku wengi Wanyonge Wakiachwa Pembezoni.
Lowassa Hana tatizo, Tatio ni CCM wala si Mtu.
Kama kipofu vile, anayeota jua!Issue ni Mfumo Mbaya Ndani ya CCM, Mfumo unaotoa Mwanya wa Kujinufaisha Wanyenafasi za Uraji Huku wengi Wanyonge Wakiachwa Pembezoni.
Lowassa Hana tatizo, Tatio ni CCM wala si Mtu.
Kambi ya Lowasa huyo, wamekuwa kama kuku anaye ata ata kutafuta mahali pa kutaga!Du, Siku hizi MUSSA ALLAN umebadilika sana
Nasiku hazi wasubiri wao wamekalia tetesi kujipa matumainiWanabisha usoni lakini mioyo yao inawauma kwa kuchomwa na ukweli kama huu.
UKAWA=CHADEMA-(NCCR+CUF)Na hata ikitokea kweli, CDM watabenefit kuliko wenzao. Wao walikuwa wanajijenga muda wote ule wakati wenzao wamekaa Dar. Hata sasa hivi, hatusikii Cuf & Nccr wakifanya kitu...Anyways, tuombe umoja udumu kwani ni nguvu.
Huko ndio kukosa hoja!Hizi. ID MPYA ZINA MASHAKA SANA
Duh! Wanarudisha mabadiliko nyuma kwa upande mmoja & zenji wataikosa.UKAWA=CHADEMA-(NCCR+CUF)Lakini CUF tayari wamefanya official, wameshajitoa.
Na hata ikitokea kweli, CDM watabenefit kuliko wenzao. Wao walikuwa wanajijenga muda wote ule wakati wenzao wamekaa Dar. Hata sasa hivi, hatusikii Cuf & Nccr wakifanya kitu...Anyways, tuombe umoja udumu kwani ni nguvu.
Sasa ni karibia wiki ya tatu hivi tangu chama tawala kutangaza mgombea wake wa Urais, Mh. John Pombe Magufuli.
Hapo nyuma UKAWA walisikika wakitamba kuwa wanamsubiri kwa umakini mkubwa mgombea wa CCM, ili wajipange kumsambaratisha.
Baada ya uteuzi wa mgombea wa CCM, UKAWA ni kama wameingia kizunguzungu na kigugumizi, maana mahesabu yao yamegota vibaya.
Kinachoonejana dhahiri ni kwamba uhai wa UKAWA unapewa uhalali tu na makosa ya chama tawala. Chama tawala kinapo weka mambo yao safi na kwa umakini, UKAWA wanaishiwa hoja na uhalali wa kisiasa, kwa vile wao wenyewe hawana unifying ideology, apart from being reactionary!
Tunachoshudia hivi sasa katika UKAWA, kushindwa vibaya kukubaliana juu ya mgombea wao urais ni kiekelezo tosha kuwa UKAWA ni utapeli wa kisiasa kati ya mambumbumbu wanao wania urais.
Hawajui nni awawakilishe na hawajui huko wanaenda kufanya nini.
Hii ni hatari kubwa!
Watu wanaonadiwa na mamluki wa kibiashara inaelekea watainunua UKAWA wakati wowote ule na ni kwa nia moja tu, kukamata dili zote za dola ili wanufaike kiuchumi.
Lakini wananchi makini wanaendekea kugutuka.
Tunajua kuwa hata wapinzani ni watanzania na huko kuna watu makini kitaifa.
Simpigii debe Dr Skaa lakini haingii akilini Dr Slaa kumtangaza Lowassa kuwa fisadi, halafu kula matapishi yake bila maelezo na kumkaribisha fisadi huyo huyo kukipigia debe chama chao.
Maendeleo ya Tanzania ni kuwa na upinzani makini utakao sahihisha kama sio kupiku chama tawala.
Kwa ujinga huu wa kukumbatia ufisadi ulio temwa na chama tawala, UKAWA unawakaribisha kina Rosta na Karamagi and co. iliwagawane rasilmali za nchi hii.
Mungu bariki, mpaka hivi sasa ndani ya UKAWA ni mtafaruku wa kukaribia kusambaratika kwani hawajui wanaenda Ikulu kufanya nini na kwa madhumuni gani kwa mwananchi wa kawaida.
Sumu haionjwi.
CUF wakijitoa wao ndio wanapoteza tena sasa ndo hawatapata hata mbunge mmoja bara. ila watawasaidia CCM kuongeza wabunge kutoka 15 watakaopata kufikia ishirini.UKAWA=CHADEMA-(NCCR+CUF)
Lakini CUF tayari wamefanya official, wameshajitoa.
Mpaka sasa hawana mtu wa kushika bendera ya wana UKAWA maana woote wanaweka matumno yao mbele.Ukawa nao ni wachumia tumbo ndio maana wanavurugana nani wa kuwa mgombea urais.
]Wakati Wahariri tukiwa njiani kuelekea Bahari Beach kuwasikiliza UKAWA, imekuja taarifa nyingine kutoka Jukwaa la Wahariri ikisema UKAWA wameahirisha Press Conference.
Wameomba radhi, lakini wameweka angalizo wakitaka Wahariri wawe standby kwa maana hiyo Press Conf. inaweza kuitishwa tena.
Naona yale yale ya CCM ya kuwaweka wananchi roho juu ndiyo haya tena yanayoletwa na UKAWA.
Wananchi wana kiu ya kupata jawabu la suala hili.
Ungemsoma vizuri ungemwelewa na wewe pia kuangalia kauli yako. Kwa hiyo wote waliokarwa ni mafisadi? Na ikiwa chama kinawachukia sana mafisadi kwa ni n i bado ninwananchama halali na wengine wanagombea nafasi za uongozi? Acheni kampeni za rejareja ambazo kama anavyosema uliyemjibu zinaumiza chama badala ya kukijenga!Mkuu una LOWASSAMANIA , upenzi wa kiza kiza na Ulowassa!
Nafikiri huna habari kuwa kitambo sasa Lowassa KAKATWA!