Sababu za UKAWA kukaribia kusambaratika

Sababu za UKAWA kukaribia kusambaratika

Lole hacha ujinga usipende kuropoka una uhakika Na usemayo watu wengine bwana hovyo
 
Njoo uweke mkutano zanzibar kati ya chadema na cuf ukitoka hapo najua utaamini kwamba cuf ni muhimu kwenye ukawa.
Yes, kwa upande wa Zanzibar Cuf ni wengi...Ila bara ambapo kuna over 90% ya voters Cuf itabaki historia ikijitoa Ukawa. Ukawa imewapa uhakika wa kupata nafasi za ubunge tena kwenye majimbo yenye maelfu ya watu. Watajutia!
 
Lole hacha ujinga usipende kuropoka una uhakika Na usemayo watu wengine bwana hovyo
Ni vema tusiwe na vichwa vya panzi na tujiulize maswali magumu na tupate majibu yake.Sasa hebu tujuze mgombea wa UKAWA ni nani hivi sasa?
 
unahangaika sana , kila siku lazima ufungue thread kuhusu ukawa.
Na bado mwaka huu mtakoma , hiyo ni bashrafu tu.
 
unahangaika sana , kila siku lazima ufungue thread kuhusu ukawa.
Na bado mwaka huu mtakoma , hiyo ni bashrafu tu.
Sasa wewe mwenye akili za Kikawa zaidi kuliko wengine hebu tujuze.
Mgombea wa urais UKAWA ni nani?
 
Back
Top Bottom