Chanzo cha ndoa kuvunjika

gekaboy

Member
Nov 27, 2021
49
103
Changamoto za ndoa zipo Toka enzi na enzi ila wakati huu zimekuwa nyingi mpk kupelekea ndoa nyingi kivunjika zikiwa na miaka 3 au 2 wengne mpk 1. Na ukiona ndoa imedumu kizazi hichi ujue kila mmoja amejifany mjinga

Kwa asili Ndoa inalindwa na mwanamke lkn maisha yamebadilika zamani wanawake walikuw wanaandaliwa kuwa tegemezi maan akijua kila kitu mume

Lakini majira yamebadilika wanawake wanasoma wanapata kazi zao kubwa hata ambao hawajasoma wanajishughulisha wafanyabiashara zao kwahyo wanaweza kujitawala kwahiyo mwanaume ukikoa kidogo tu nguo zinaanza kupakiwa ila zamani unakuta mwanamke anaweza anarudi kukaa na Baba na mama nyumbn Bora tu atulie kwa mumewe

NB: kama hipo sababu nyingn dodosha kweny comments
 
I mean no malice to nobody
FB_IMG_17057829606792712.jpg
 
Ndoa ni kitu chema sana. Sema watu wanaichukulia ndoa kwa u serious uliopitiiza ndio maana inakuja kuonekana kama kitu flan so so disturbing.

Anyways, the secrete to happy marriage will always remain secrete japo it is so open.
 
Back
Top Bottom