Sababu za msingi za kumpiga mwenzi wako!

vaBf8H6f+zMnufoU3jQAAAAAElFTkSuQmCC
 
Mr. Man
Umeona eeh, haiingii akilini kabisa! Ila wanahitaji msaada wa kuwafungua pia! Maana degree ya Bcom siyo ya maisha ya ndoa; mimi nimeona mmama ni darasa la Saba lakini anajitambua ni balaa! She doesn't take nonsense from nobody! Sometimes ni jinsi ulivyoumbwa pia, kuna wengine wapole ambao walionewa hata na wadogo zao!

Kwa upande Fulani nakubaliana na The Boss kuwa it is complicated!
 
Matumizi ya nguvu ni dalili za akili ya mhusika kufikia upeo wa mwisho, hakuna uhalali wowote mume kumpiga mkewe. Matatizo yote ndani ya ndoa yatatuliwe kwa mazungumzo yaliyojaa hekima na upendo.
 
Hivi inawezekana mwanaume akishampiga mkewe hujutia? Hutamani asingefanya hivyo?
 
Mimi naamini pale mwanamke anapoleta dharau za kujirudia mbele za watu anastahili kibondo mnapokuwa faragha!!

ndo 'inferiority' zenyewe hz, unahs umedharauliwa ili kujenga heshima unaishia kupiga. Kipigo hakileti heshima bali face mapungufu yako
 
Jamani kwetu mkoani Mara mwanamke asipopigwa kwa muda mrefu, tafsiri inatakayojitokeza toka kwake ni kwamba humpendi. Hivyo mwanamke kule kwetu anatakiwa ale mashuti mara kwa mara ili kuonesha kwamba penzi lipo ndani ya nyumba vinginevyo ndoa yaweza kuwa mashakani.
 
Kaunga; Hivi unajua kuwa mwanamke ni mtu mzima? Anakanywa mtoto mdogo, mtu mzima mnajadiliana! Je ofisini secretary wako akikosea pamoja na kwamba 'umemkanya' unampiga?

Na wewe mf; mkeo akikukanya kunywa pombe na kuchelewa kurudi nyumbani usiposikia akupige?

Maana yangu kila mtu anakwazwa once in a while; je njia rahisi ya kumdispline mtu ni kipigo?

Kaunga
Waulize wale wanaowapiga wake zao au waume zao kwa nini inatokea hivyo? Mimi na wewe tunaona siyo sawa lakini wao waweza kuwa na sababu za msingi.

Hivi inawezekana mwanaume akishampiga mkewe hujutia? Hutamani asingefanya hivyo?

Bwana sijui kama wanajuta from the heart; mimi nilikuwa napigwa hasa, imagine Simu inappndwa; Nguo zachanwa, mikoba yachanwa; nakuwa abused sexually no matter what state ya monthly circle ilivyo then in the morning the guy is crying begging for forgiveness and swearing that harudii tena, jioni anakuletea vitu mara mbili ya hivyo!

Niulize kosa lilikuwa nini? Kunikuta na chupi ambayo hajanunua yeye; n remember l am working na mshahara mzuri sana!

After a month or so anarudia; kisa umesafiri kikazi na wafanyakazi wa kiume. This time atatishia hadi kujiua; he was a real psycho!
 
duh! Pole sana mpendwa. Mi naona wivu nao huchangia kwenye hivi vipigo.
 
duh! Pole sana mpendwa. Mi naona wivu nao huchangia kwenye hivi vipigo.

Mimi siuiti wivu, ni insecurity na kutojiamini! Ni zaidi ya wivu! Asante mwaya; nishatoka huko, l am a survivor!
 
Kaunga; Hivi unajua kuwa mwanamke ni mtu mzima? Anakanywa mtoto mdogo, mtu mzima mnajadiliana! Je ofisini secretary wako akikosea pamoja na kwamba 'umemkanya' unampiga?

Na wewe mf; mkeo akikukanya kunywa pombe na kuchelewa kurudi nyumbani usiposikia akupige?

Maana yangu kila mtu anakwazwa once in a while; je njia rahisi ya kumdispline mtu ni kipigo?

Kaunga
Waulize wale wanaowapiga wake zao au waume zao kwa nini inatokea hivyo? Mimi na wewe tunaona siyo sawa lakini wao waweza kuwa na sababu za msingi.

Oak so far hakuna hata mmoja kati ya waliochangia ametoa sababu ambazo nimeziona za msingi!

Rogi amesema yeye akidharaulimwa na mkewe mbele za watuatamdunda mkewe.
Kuna jamaa mwingine naye alisema yeye akijibiwa kunya na mkewe mbele za watu ampa kipondo mkewe

Ukichunguza kwa makini vyote nilivyobold ni kuhisi kuvunjiwa heshima mbele za watu, sijui wakiwa wenyewe tu wanajibizana hovyo? na nini hasa chanzo cha kujibizana hovyo na je kipigo kitatatua whatever hidden tatizo lilipo; au kitaongeza kiburi na kupunguza mapenzi. Nyumba inakuwepo kuwepo tu hakuna mapenzi wala amani, mume akisafiri mke anapumua na akirudi mke amani inamwisha.

Now tell me oak hizo ni sababu za msingi?
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom