Sababu za msingi za kumpiga mwenzi wako!

Mimi naamini pale mwanamke anapoleta dharau za kujirudia mbele za watu anastahili kibondo mnapokuwa faragha!!
Na huyo mwanamke hawezi kuanza kukuletea dharau mbele za watu just from no where lazima kuna kitu jichunguze
 
sio kuwaendekeza
kuna kitu kinaitwa sub conscious..
its deep..........

kwahiyo hiyo sub conscious ndio inafanyaje?
Wanawake wengine kwanza hawajitambui, swala la kupigwa kwao huona ni haki kabisa. Nafikiri tunahitaji kujadili tunayoyapenda na tusiyoyapenda katika hatua ya mwanzo kabisa ya mahusiano, pengine cases za vipigo na zingine zitapungua kama si kuisha.
 
sio kuwaendekeza
kuna kitu kinaitwa sub conscious..
its deep..........

Na wewe na hizo deep zako!
Mwanamke wa hivyo hajajitambua na kikubwa ni kuamini kuwa mwanaume atabadilika baadaye!
 
Kaunga sijui huyu Hussy kasikia, weee Husninyo umesikia usinitie presha lol!!!

Pressure atakayokupa ni ya kunako Sita kwa Sita tu, hivyo usihofu! Hussy baby umesikia eeh; mpagawishe mpaka aloose mapigo ya moyo! LOL
 
Enyi waume wapendeni wake zenu kama KRISTO anavyolipenda kanisa. Mke ni ubavu wako, ni nyama katika nyama yako. Kwanini umpige? Kama amekukosea mwonye kwa upendo, haifai kumpiga hata kidogo. Mbarikiwe nyote.
 
Na wewe na hizo deep zako!
Mwanamke wa hivyo hajajitambua na kikubwa ni kuamini kuwa mwanaume atabadilika baadaye!

nilifikiri utaniuliza sub conscious ni nini?
kama mwenzio husny hapo..

jiulize kwa mfano.inatokea siku moja una mawazo saana
but unaweza kufika nyumbani huku hukumbuki ulipitaje njiani,
ulivuka je barabara?
hiyo inaitwa sub concious mind....kama vile ukiona nyoka tu unakimbia
au kupiga kelele automatic hivi....so mwanamke ambae toka utotoni
anaona mwanamke akipigwa ,automatic kichwani kwake anajenga acceptability ya kipigo

bila kujijua
 
Mimi naamini pale mwanamke anapoleta dharau za kujirudia mbele za watu anastahili kibondo mnapokuwa faragha!!

Dharau mbele za watu????
Mkiwa peke yenu ndio akuletee dharau?
What r u trying to prove to people? That is a sign ya kutojiamini!
Okay tuache hayo....
Na wewe ukimuudhi akupige? Najua utasema hawezi/ hana ubavu/ thubutu! Kama ndivyo wewe unampiga just because you can au kwa Maneno mengine kwa vile una nguvu? Maana kuudhiwa/ kuidhika hakuna jinsia wote twakasirika once in a while!
 
Enyi waume wapendeni wake zenu kama KRISTO anavyolipenda kanisa. Mke ni ubavu wako, ni nyama katika nyama yako. Kwanini umpige? Kama amekukosea mwonye kwa upendo, haifai kumpiga hata kidogo. Mbarikiwe nyote.

Amina! Nawe pokea Baraka nyingi toka kwa Muumba!
 
nilifikiri utaniuliza sub conscious ni nini?
kama mwenzio husny hapo..

jiulize kwa mfano.inatokea siku moja una mawazo saana
but unaweza kufika nyumbani huku hukumbuki ulipitaje njiani,
ulivuka je barabara?
hiyo inaitwa sub concious mind....kama vile ukiona nyoka tu unakimbia
au kupiga kelele automatic hivi....so mwanamke ambae toka utotoni
anaona mwanamke akipigwa ,automatic kichwani kwake anajenga acceptability ya kipigo

bila kujijua

personally siaccept vipigo labda kwasababu sikuwahi kumwona mom akipigwa au mtu yoyote katika familia ila katika maisha yangu ya ukubwa nimeshashuhudia vipigo vingi sana. Je hiyo sub concious naweza ipata ukubwani au lazima utoke nayo utotoni?
 
nimesema hapo juu its complicated

the finest msingi wake mkubwa ni baba yake

sasa wale ambao wamekua wakiona baba anampiga mama utawalaumu??????

hiki kitu kiko deep mno.....ingawa tunatakiwa kukipiga vita saana

but ni vizuri tukapunguza lawama tukaanza kuangalia chanzo.ambacho most of time nimalezi.....

sio tu kwa wavulana,hata kwa wasichana....binti akiona its okay
mama yake kupigwa,anakuwa anaamini kuwa mwanaume akikupiga its okaay

Kumuona mama yako anapigwa na baba yako bado hakukupi haki ya kumpiga mkeo ili utumie hali hiyo kama kisingizio cha kumpiga mkeo. Na pia kuna wengine wanasema kwamba tabia hii ya baadhi ya wanaume kupiga wake zao inasababishwa na malezi waliyoyapata toka kwa wazazi wao. Hili halina ukweli wowote kwa sababu nawafahamu wanaume wengi sana ambao wamezaliwa Baba mmoja na Mama mmoja na kulelewa katika nyumba moja, baadhi ni wapigaji wazuri wa wake zao na wengine hawajawahi kuwagusa wake zao hata kwa kibao kimoja cha shavuni. Wako pia akina dada ambao waliona mama zao wakipigwa na Baba zao lakini hawaikubali kabisa hali hii ya kupewa mkong'oto na waume zao.
 
personally siaccept vipigo labda kwasababu sikuwahi kumwona mom akipigwa au mtu yoyote katika familia ila katika maisha yangu ya ukubwa nimeshashuhudia vipigo vingi sana. Je hiyo sub concious naweza ipata ukubwani au lazima utoke nayo utotoni?

wewe uko safe..
ina madhara ikiwa uliiona nyumbani kwenu,kwa walezi....
but athari za abusive acts sio vipigo tu,hata matusi....

kuna nyumba matusi ndo lugha,mwanamke wa hivyo akipata mume hatukani
anaona mume ana bore....lol
 
The Boss hujaona mwanamke aliyepigwa wewe; usifikirie zile pat unazomgusa mwenzi wako mkiwa faragha! I tell u hakuna cha sub- conscious wala nini pale; kwanza maumivu hayatakuruhusu kusema ni kawaida tu! Wengi wanavumila kwa sababu zifuatazo-:
1: kuwa na imani kuwa siku moja mume atabadilika
2: watoto watateseka nikiondoka
3: hajui ataanzaje maisha/ haamini kama anaweza kuishi peke yake
4: ndoa ya kanisani (mpaka kifo kitutenganishe)
5: mama/ dada wanavumilia!

Sasa root cause ya yote hayo juu ni kutojiyambua na kujiamini! Kwa mwanamke anayejitambua despite vitu vyote hapo juu bado anaweza kutoka katika that kind of relationship!
 
wapo wanawake wanapigwa hivyo unavyosema....
halafu wanaachwa,wanalilia kurudiana
wanarudiana tena.....na vipigo zaidi
na unakuta mwanamke ndo ana kazi nzuri na pesa zaidi.....

usicheze na saikolojia wewe
 
Aisee they must be sick in the head!
Mimi bado nawaona hawajajitambua; hawajiamini na hawajithamini pia! Kuna mtu mmoja alisema usipojipenda mwenyewe kwanza then huwezi kupenda mwingine! So to mwanamke wa hivyo anahitaji counciling ya hali ya juu. Lkn let's go back to the man; kwani anachieve nini kwa kumpiga mkewe hivyo?
 
Nakubaliana nawe katika hili, inashangaza sana kuona mke aliye na kazi nzuri na kipato kikubwa hivyo uwezo wa kujitunza anang'ang'ania kuendelea kuishi na mume anayemdhalilisha kwa namna moja au nyingine ikiwemo vipigo vya mara kwa mara na vipigo vya nguvu ambayo vinaacha majeraha katika sehemu mbali mbali za mwili. Mwanamke ambaye hana uwezo wa kujitunza mwenyewe anaposhindwa kuondoka kwa mume kama huyu hili linaeleweka lakini si kwa mwanamke ambaye pamoja na uwezo wa kujitunza mwenyewe bado anaendelea kukubali vipigo na kudhalilishwa na mumewe kila baada ya muda mfupi kwa sababu ambazo haziingii akilini.
 
Back
Top Bottom