Sababu za Marrian Girls ya Bagamoyo Kung'aa!.

Naskitika hii thread haina mashiko wala mwelekeo. Sasa kosa la wazazi na wanafunzi kwenda Marian ni nini?
 
Naskitika hii thread haina mashiko wala mwelekeo. Sasa kosa la wazazi na wanafunzi kwenda Marian ni nini?

Kaka hemu umiza kichwa kusoma title halafu ka pembeni uifikirie ndo uje utoe comments maana tunajadili ubora au efake wa shule ya marian ndo umuhimu wa hii thread.
 
Tanzania Tanzania Tanzania Unajua Nashukuru hi mada imekuja hapa Ona Ada ya Marian galz St Francis, Fedha na nyinginezo Ni zaidi ya Chuo Wakichukua watoto wa Pcm Pcb huwa wanatoka na one na direct huenda Udaktari Ambao Serikali inadi ni bure Sijui umepata logic why wazazi wanagaramika mapema wanaenjoy chuo bt ths is unsrucapouls Yan wanaosoma sayans watakuwa wa matajiri achali sie vipanga 2naopiga gvt
 
mwaka jana Walikuja LAW udsm 6 na one kali ha ha miezi 6 ya kwanza mimba 2 mwaka wa kwanza kula disco 2 unajua wako fiti tatizo geti kali linawaua. Ila nakumbuka akati nkO telecm mwaka flan pale Udsm aliyekuwa anakimbiza alitoka Marian sm times nawakubali
 
Kaka hemu umiza kichwa kusoma title halafu ka pembeni uifikirie ndo uje utoe comments maana tunajadili ubora au efake wa shule ya marian ndo umuhimu wa hii thread.
Wewe uliyeumiza kichwa umekuja na conclusion IPI??
 
Wewe uliyeumiza kichwa umekuja na conclusion IPI??

Oya dogo unachakachua sredi bana,toa expirience yako hapa,au wewe hujapitiapitia xuli??kama huna cha kuchangia si usepe tu....we unajifanya mjuaji kumbe zero-brain
 
wale madogo nao ni wajanja,cku hz huwezi wakuta wamejazana udsm au sua weng wao wako mzumbe,tumaini na st augustn,wanajua wakija udsm anytym wanaliwa vichwa.

hivi Udsm ni chuo basi? Nakumbuka long time kitambo wkt niko VET SUA, watu waliokuwa wakidisco pale walikuwa wanakimbilia Udsm. Mfano halisi ni classmate aliedisco mwaka wa 3. (NB Veterinary medicine ni miaka5) alipokuja udsm alikimbiza mbaya huko huko engineering.
So ukitaka kuonyesha ugumu wa shule either refer SUA or Muhimbili. Not udsm generally
 
Oya dogo unachakachua sredi bana,toa expirience yako hapa,au wewe hujapitiapitia xuli??kama huna cha kuchangia si usepe tu....we unajifanya mjuaji kumbe zero-brain
Naona unatafuta bwana JF, ka-K kako ka mgongoni kanakuwasha eeh? ni-PM tuyamalize.
 
Raha umsomeshe mwanao sehemu ambayo ana uhakika wa kufaulu. Mzazi akiwa na mwanaye anasoma shule kama St Francis au Marian, anakuwa haumizi kichwa cuz anakuwa na uhakika mwanaye atafaulu! Kama akija kuchemsha mbeleni its up tu yeye.
 
Mkuu hata mie hapa ni mdau, kijana wangu alifanya huo mtihani jana na kwa idadi niliyoina kupita pale ni kwa wale wenye 'za nature'. Pamaoja na hayo, mie na mai waifu tulisafiri kwa daladala lakini ilibidi tuende huko jana yake joini kuhofia kuchelewa usafiri wa asubugi, bahati nzuri tulipata mahala pa kujihifadhi ingawa nyumba nyingi za wageni zilikuwa zimejaa.

Nitairudia hii thread 'kivingine' baada ya kupata matokeo ya kijana wangu J'tano ijayo.
 
Kaka kumbe na wewe KIBOPA! (joke)
Hongera kwa kujali elimu ya kijana wako, usiskize majungu ya akina Pasco.
 
Raha umsomeshe mwanao sehemu ambayo ana uhakika wa kufaulu. Mzazi akiwa na mwanaye anasoma shule kama St Francis au Marian, anakuwa haumizi kichwa cuz anakuwa na uhakika mwanaye atafaulu! Kama akija kuchemsha mbeleni its up tu yeye.
Exactly!
Hakuna mzazi anayependa kulipa ada kubwa wakati hana uhakika na matokeo ya kijana wake. Na kijana anayelipiwa shule nzuri sidhani kama ni haki a-apologise kwa kuwa mzazi wake ameweza kumgharamikia..kifupi nashindwa kuelewa mantiki ya uzi huu.
 
si kweli kuwa nafasi ni 150, ni takribani 300 maana ni entry exams ya shule 2 za Marian BOYS & GIRLS. Kuhusu wingi wa candidates yes, but mi nadhani mmiliki anajaribu kutoa nafasi kwa yeyeto anaependa kusoma pale ajaribu bahati yake, So hii si mbaya kwa mtazamo wangu. Pia suala la mil 45 za chapchap kidogo ninawasiwasi na uwezo wa kufikiri wa muwasilishaji. Kuna gharama nyingi sana katika kuratibu mitihani! Mf printing,statiories,invigilators,markers payments, etc so its not a simple math as he did.
Na mwisho mafanikio ya chuo kikuu hayako related sana na shule uliotoka it is a personal issue! Hata waliosoma kayumba wengi tu wanafanya vibaya vyuoni. Fanya uchunguzi wa kina kabla ya kuwasilisha hoja!
 
Mara nyingi nikiona screening zinazofanywa na shule huwa najiuliza hivi shule kazi yake ni nini kama hawataki kuchukuwa 'wajinga' na badala yake wanachukuwa wenye 'akili' tu!?

Kuna nyakati huwa napata hamu ya kuanzisha shule ambayo itachukuwa wale 'waliofeli' au kuachwa na mfumo huu wa kuchuja ili wafundishwe na kuonesha kazi hasa ya shule na waalimu!
 
Ni hatua tu ya kuwachuja watu kwa sababu nafasi ni chache, wangeweza kueka criterion nyingine, lakini ya kuwapa mtihani wa darasani naona iko njema zaidi na haina longolongo.
 
Ni hatua tu ya kuwachuja watu kwa sababu nafasi ni chache, wangeweza kueka criterion nyingine, lakini ya kuwapa mtihani wa darasani naona iko njema zaidi na haina longolongo.
sasa hiyo criterion ya mtihani si inawapa nafasi wale tu wenye akili? Unless kama unaniambia baada ya huo mtihani watachukua 150 ambao hawakufaulu!
 
sasa hiyo criterion ya mtihani si inawapa nafasi wale tu wenye akili? Unless kama unaniambia baada ya huo mtihani watachukua 150 ambao hawakufaulu?
Sijaona tatizo la criterion inayotumika, maana mwisho wa siku mwene shule ndio mwamuzi wa mwisho na wao kama shule wanaona wanafunzi vichwa wataipandisha chati shule yao, sasa sidhani kama kuna mtu ambaye atakataa fursa ya kuuwa ndege wawili kwa jiwe moja, au wewe waonaje? Wachukue waliofeli ambao chance ya kugaragara kwene NECTA ni kubwa na wazazi mwishoe wakose imani na shule? Is that what u want?
 
sasa hiyo criterion ya mtihani si inawapa nafasi wale tu wenye akili? Unless kama unaniambia baada ya huo mtihani watachukua 150 ambao hawakufaulu!

huyo hakukuelewa ila kweli marian itudhihilishie inafundisha ingechukua wale wote 150 kutoka chini nikimaanisha waliofeli huo usahili ili wawafundishe halafu waendelee na hiyo nafasi yao kitaifa ya kufahulisha,ni mitazamo ya wazazi wa Tanzania mwanao unamsomesha shule za binafsi halafu chuo aende cha public si bora umuunganishie mwanzo mwisho kama wanaamini elimu ya Tanzania inayotolewa na shule za serikali ni mbovu maana hadi hivyo vyuo ni vya serikali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…