la ajabu..... tunaodhani kuwa wana hofu ya Mungu ndo wanaongoza kwenye hili.....
I was shocked niliposoma kuhusu ndoa ya Pastor Chris na Anitha wa Christ Embassy..... yaani ukiwaona wapo pamoja you will pray to God to grant you a marriage like theirs.......... so so so disappointing
Daaaaaa nikwelii mkuu .cjuii ht twaelekeaa wapii penginepoo ndio mwishoo wetu
hii inainclude hata wale viongozi wetu wa dini?
sijui ni mod gani kabadilisha title ya uzi wangu.....Hizi simu za touch screen..tabu ..message was for you.... Hujambo?naku miss miss...
alikuwa happily married?Haya mambo si mageni na ni ya kihistoria...Kama ni msomaji wa biblia utakumbuka mfalme Daudi ali cheat na mke wa mtu...kama hiyo haitoshi, alinogewa akamuuwa huyo mwanaume ili amiliki mzigo vizuri.
you are right......hao kwa kweli ndio wale wanaotajwa kwenye maandiko kuwa wanadai kumtumikia Mungu lakini matendo yao ni kinyume kabisa,lakini kwa wale wanaomwabudu Mungu kikweli na kutoka moyoni ndoa zao zenye furaha huwa na furaha ya kweli na no cheating at all.
alikuwa happily married?
angalia nani kaanzisha uzi.....Umeenda off topic....
F ila ukijibinua nakuwa M
...tatizo wengi vibamia