Sababu za kutokupata ujauzito

Sababu za kutokupata ujauzito

Kaguaneni ile mistari halafu mpate maujanja toka kwa Wana JF wenzetu jinsi ta kutatua hilo
Hiyo mistari ina uhusiano gani na kupata mimba?? Tunaomba hiyo elimu.. Na je kwa wasio nayo hawapati?
 
Habari zenu wapendwa? Poleni na majukumu ya kila siku, naombeni ushauri wenu ni kitu gani kinasababisha mtu kufanya mapenzi siku ya hatari tena siku ya 14 alafu usishike ujauzito je ni Jambo la kawaida kutokea au Kuna shida maana nahisi kudata
Tatizo lina muda gani? Inatakiwa ufanye ngono zembe yaani (bila kinga au njia za uzazi wa mpango) ndani ya mwaka mzima bila kushika mimba ndo tuanze kujadili kama tatizo.
 
Tumia vipande vya vitunguu swaumu hata vipande vitano kwa maji ya kunywa viguvugu..kila asubuhi au kila jion
 
Kuna sababu za kitalaam na pia kuna sababu za kiroho.

Chungulia hapa kwa masuala ya kiroho

 
Umeolewa? Kama ndio basi subiri angalau miezi sita ukijaribu.
Kama bado hujaolewa basi achana na zinaa.
#UshauriTu
 
Back
Top Bottom