miss chuga
JF-Expert Member
- Dec 25, 2019
- 303
- 660
Habari zenu wapendwa?
Poleni na majukumu ya kila siku, naombeni ushauri wenu ni kitu gani kinasababisha mtu kufanya mapenzi siku ya hatari tena siku ya 14 alafu usishike ujauzito je ni Jambo la kawaida kutokea au Kuna shida maana nahisi kudata.