Sababu za kutokupata ujauzito

Sababu za kutokupata ujauzito

Si jsjya una umri gani ila kwa kifupi hiyo inaweza kuwa fibroids. Hili ni tatizo kubwa Sana kwa wanawake wengi na hakuna tiba ya hospitali inayoponya huu ugonjwa.

Njia ya kumaliza hili tatizo kama utakuwa nalo ni operation ambayo inawezakukusababishia ugumba.

Chanzo kikubwa cha fibroids ni kutumia vidonge vya uzazi wa mpango mda mrefu.

Swali: je kuna wakati unapokuwa unafanya sex unasikia uchungu?
Unapokuwa kwenye siku zako zinachukua mda na tare hubafilika badilika?

Kama ulivyoshauriwa nenda kawaone wataalam
Samahani mkuu, naomba ufafanuzi kidogo juu ya fibroids kama hutojali
 
Si jsjya una umri gani ila kwa kifupi hiyo inaweza kuwa fibroids. Hili ni tatizo kubwa Sana kwa wanawake wengi na hakuna tiba ya hospitali inayoponya huu ugonjwa.

Njia ya kumaliza hili tatizo kama utakuwa nalo ni operation ambayo inawezakukusababishia ugumba.

Chanzo kikubwa cha fibroids ni kutumia vidonge vya uzazi wa mpango mda mrefu.

Swali: je kuna wakati unapokuwa unafanya sex unasikia uchungu?
Unapokuwa kwenye siku zako zinachukua mda na tare hubafilika badilika?

Kama ulivyoshauriwa nenda kawaone wataalam
Hili tatizo ni sugu, bado kuna mawatu yanayoabudu Wazungu yatakwambia kuwa unawachukia.

Hilo tatizo linatatuka ikiwa ataenda kwa wataalamu wa uzazi wakajua ikiwa tatizo lakr ni fibroids watamchoma sindano ya kuua sumu iliyojengeka mwilini tokana na huo uzazi wa mpango.

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
 
Nilipata kusikia hata blood group aina fulani mkiwa nazo wote hamuwezi pata mtoto.
Hii inatokea ikiwa kweli damu zenu ni tofauti na mkapata mtoto wa kwanza ila kuna sindano hamkochomwa sindano ya kuzuia hilo tatizo lisijetokea na hutakiwa kuchomwa pale pale tu baada ya Mke kujifungua.

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
 
Hii mada ni nyeti kweli. Nishawahi kufanya mapenzi siku danger za mwenza wangu mara mbili mfululizo na hakushika mimba. Ilhali mm tayari nina wawili mtaani. Binti hana shida yotote kwani kitu yake ilikuwa mpya ndio naifungu. Sielewi shida yake ni nini zaidi
 
Habari zenu wapendwa? Poleni na majukumu ya kila siku, naombeni ushauri wenu ni kitu gani kinasababisha mtu kufanya mapenzi siku ya hatari tena siku ya 14 alafu usishike ujauzito je ni Jambo la kawaida kutokea au Kuna shida maana nahisi kudata
Jikague unao ule mstari mweusi chini ya kitovu au hauna ?
 
Hii mada ni nyeti kweli. Nishawahi kufanya mapenzi siku danger za mwenza wangu mara mbili mfululizo na hakushika mimba. Ilhali mm tayari nina wawili mtaani. Binti hana shida yotote kwani kitu yake ilikuwa mpya ndio naifungu. Sielewi shida yake ni nini zaidi
Kaguaneni ile mistari halafu mpate maujanja toka kwa Wana JF wenzetu jinsi ta kutatua hilo
 
ishu ya kuzaa na kuto zaa ni Mungu mwenyewe anahusika Kuna
Rafki yangu aliwahi kupima utrasound akaambiwa kwamba ana uvimbe hawezi kupata ujauzito hadi afanyiwe operation ila akagoma kwamba hataki kuchokonolewa sahizi ana mimba.

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Uzazi ni tatizo sugu sana kwa sasa, hays mambo ya kutoa Mimba, vidonge vya uzazi wa mpango, kupiga nyeto sana, kuweka vichuma mwilini navyo vinachangia kwa kiasi kikubwa sana kuongezeka kwa tatizo hili.
 
Fanya detox ya mwili itakusaidia. Dhamiria kupunguza wanga, kula matunda halisi kwa wingi, tengeneza juice ya mchicha, matembele, baby spinach kwa parachichi na matango kwa wingi kila siku angalau wiki 3-4 mfululizo. Itakusaidia kuondoa sumu mwilini na hormones zitakaa vizuri.
 
Back
Top Bottom