Hao NASRI na BENZEMA ni wa ALGERIA wakaamua kuchezea FRANCE shauri yao ,by the way kazi ya ukocha ina lawama kwelikweli
angalia dini, ulaya hiyo dini haifagiliwi, however to me it is very unfair mtu kubaguliwa kwa kigezo hicho.
hicho sio kigezo mkuu, Yuri Jorkaef na Zinedine Zidane nao pia walikuwa wanatoka hukohuko na walikuwa wanategemewa sana na timun yao ya ufaransa
Mh ! Una maana Nasri anyechezea Arsenal au kuna mwingine? Kama ni huyo wamuona kituko, kweli binadamu wote tu sawa lakini hatufanani !Nasri ni kituko PERIOD. Namuunga mkono Domenech, ameachwa Vieira atakuwa huyu midget Nasri?
Nasri alikuwa kwenye kikosi kilichoipeleka Ufaransa Sauzi hivyo hakuna sababu ya msingi ya kumtoa sasa. Labda sababu iwe ni kuvunjika kwake kwa mguu na kukaa nje kwa muda mrefu. Ila pamoja na hilo amepona na kacheza vizuri hasa kwenye ligi ya mabingwa wa Ulaya. Ufaransa itajuta kumfahamu Domenech!
Halau hapa watu wanadhani Uarabu = Uislamu. Pia kumbukeni kina Zidane sio wa enzi za Domenech. Hapa kuna harufu ya ubaguzi wa rangi tu!:frown:
dini pia sio kigezo, kuna waislamu wangapi ndani ya timu ya ufaransa?
Nicolaus Anelka, Abidail, Frank Ribel, sagna, na kulikuwa na Zidane na Yuri Jorkaef
Nasri ni mchezaji chipukizi ambaye anastahili kuwepo Sauzi......