Sababu za kuingia kwenye ndoa

Sababu za kuingia kwenye ndoa

Kua uyaone mkuu, achana na ndoa za kwenye keyboard. After all usidhani kila mwanamume anafikiri kama wewe. Wako wanaume wenye busara na mapenzi ya kweli kwa wake zao, hao hawana muda wa kuwa na mtazamo dhaifu kama wako. Hujafikia akili ya kuwa na mke hivyo huwezi kuyajua yavndoa, una mtazamo wa kisela halafu unaufananisha na ndoa. NDOA SIO TAASISI YA KIPUUZI MKUU.
Mie nakubaliana na wewe kuwa ndoa sio taasis ya kipuuzi. Pia tambua kila taasisi ina matakwa yake.

Takwa la kwanza ni kwamba wanandoa wakutane wakiwa bikra ambalo wengi tayari wanashindwa hilo takwa.

Hivyo basi kwa kushindwa hilo inamaanisha ata hayo mengine yakuwa waaminifu nayo yatawashinda.

Sasa kama wewe umeoa mke breki ya kwanza pu.mbuz leo hii kisa cheti eti ndio asigegedwe na wengine bali weye peke ...kweli does that make sense to u?
Huko ni kuwa na unrealistic expectations.

Ndoa iheshimiwe na kweli unatakiwa kufanya kila jitihada ili use muaminifu kwa mwenza wako but ukubali ukweli kuwa mwenza wako ni binadamu.

Wee mfamle daudi hand picked by God aliingia tamaa ya ngono sembuse mtu eti kisa cheti cha ndoa ambacho tena kinatolewa na binadamu. Wacha nibaki na ujinga wangu lakini ata nikioa na ninamuamini mke wangu nitaweka 7% kuwa anaweza kuchepuka.
 
Hapo umenena vema. Ndoa imekusudiwa kati ya mume na mke ambao wako fresh. Lakini iko option kwa wale wanaojutia matendo yao ya nyuma. Kama watabadili nia zao, wakamwelekea Mungu wataweza kuishi vema. Umenena kweli tupu
 
..sababu kuu ni kusogeza huduma karibuuu..

Mtu mume atatengana na Babaye/Mamaye kisha ataungana na mtu mke ambaye naye atatengana na babaye/mamaye kisha watakuwa wamoja
 
Back
Top Bottom