Sababu za kuikataa CCM Kagera hizi hapa

Sababu za kuikataa CCM Kagera hizi hapa

wtu wanaokula ndizi na samaki wa maji baridi ubongo kidogo akili nyingi. we tafuta migomba ilipo uone ccm inavopata shida.CCM WANAIWEZEA BAHARI

Huyu hatarudi kwako mkuu make alihisi watz wote wamezaliwa pwani ya bahari kumbe wapo wengine kwao ndizi ndo kila kitu badala ya mchuzi wa pweza na kacholi
 
Ni wabishi au ni watu wanaojitambua kwa hiyo wanajua na kujiamini wanachokisimamia??!! tofautisha Ubishi na weledi wa mambo?!

nimekwambia wahaya wabishi unakataa! ona ya Tibaijuka, bado anabisha tu!,IPTL bado wnabisha!
 
Back
Top Bottom