Rweye
JF-Expert Member
- Mar 16, 2011
- 16,968
- 7,523
Kupitia taharifa ya habari ya saa 2 ITV makamanda wa CHADEMA wametaja sababu mbili za kuizika CCM kuwa ni
1. Kuitupa rasimu ya Warioba
2. Pesa ya ESCROW
Sasa na mie naomba niongeza zangu mbili ili zifike 4.
3. Kushindwa kutimia kwa ahadi ya meli mpya
4. Hasara ya 18bn iliyosababishwa na Mbunge na Meya mpaka pesa hiyo kurudishwa world bank,hii ni hasara kimaendeleo kwa uchumi wa manispaa na mkoa kwa ujumla.
Tuikatae CCM.