Sababu za kufunga Boda ya Tanzania na Kenya

Sababu za kufunga Boda ya Tanzania na Kenya

Mchafuzi

Member
Joined
Apr 24, 2008
Posts
45
Reaction score
21
Watanzania wenzangu sote tumekua tukisikia jinsi ndugu zetu wanaofanya biashara ya kusafirisha Watalii wanavonyanyaswa na kunyanyapaliwa kutoka kwa jirani zetu hawa. Kwa maneno ya kawaida tu ni vigumu kuona usumbufu unaowakabiri ndugu zetu aswa unaposikia ya kwamba Waziri anayehusika na maswala ya utalii amekwisha wasiliana na waziri mwenza katika kutafuta suruhu.kwa maoni yangu na hii ni baada ya kupata ushuhuda wa aliyekutwa na kadhia endapo nawe utapata nafasi ya kumsikiliza basi suruhisho ni kuamua kuufunga mpaka wetu mara moja na ndipo sasa juhudi za waziri husika zianze kwani kwa maneno ya shuhuda hata chakula ama kinywaji kama soda sasa madereva wa wakitanzania hawauziwi wanapokuwa katika foleni ya kuakikisha wageni wao wanafika Jomo Kenyatta Int Airport.Unyama gani huu, jamani kwa ndugu zetu ambao tukiwa nao uku kwetu wanaimba u afrika mashariki!!? TUFUNGE MPAKA NDIO TUANGALIE NAMNA YA SURUHISHO PERID
 
MPAKA UFUNGWE TU! Mambo ya kimbwa hayo, hata soda wanagomewa kuuziwa?! wafe kiu sio?!
 
Uhuru Kenyata ana kampuni yake kubwa sana ya maziwa na soko lake kubwa ni Tanzania, mimi nilikuwa nashauri tumfungie mipaka asilete maziwa yake kwetu halafu tuone mwisho wake
 
Tuache kulalamika kama mapoyoyo yatosha sasa, kenya kufunga uwanja wao wanahaki, si wakwao? na sisi tuimarishe wakwetu!!
 
Wakenya tukiwachekea watatuumiza, hakuna kujadiliana kama wao wamefunga na sisi ni kufunga tu ili watalii waje moja kwa moja TZ na wanaotaka Kenya waende kule na siyo kupitia Kenya wakati wanakuja TZ ndiyo Kenyatta ataelewa umuhimu wetu
 
Uhuru Kenyata ana kampuni yake kubwa sana ya maziwa na soko lake kubwa ni Tanzania, mimi nilikuwa nashauri tumfungie mipaka asilete maziwa yake kwetu halafu tuone mwisho wake


Shida ni sisi wenyewe kupenda vitu vya nje huku tukiwa tumejaaliwa resources zote hapahapa kwetu, hii ni hatari kwa maana adui zetu wanaweza ndiyo watatumia mwanya huo kupandikiza vimelea hatari vya kutuua polepole bila sisi kujijua kwakuwa wameshajua udhaifu wetu ulipo, ni wakati umefika sasa viongozi wetu waache tamaa za kujilimbikizia mali watazame maslahi ya raia wao kwa kujifunza kutokana na sekeseke kama hizi za Kenya
 
Kwa sasa hatuna sababu zozote za msingi kuwategemea kenya kwenye bidhaa zao. Kamata mengi, kamata Azam, kamata manji, kamata METL weka ndani wiki moja na wakitoka waeleze ni kwanini tuendelee kutegemea bidhaa zinazozalishwa kenya wakati wao wana uwezo, na waje na mpango mbinu ni namna gani ndani ya mwaka mmoja watweza kuzalisha bidhaa alternative na zile tunazoagiza nje hasa kenya.
 
Nyalandu yuko na ant ezekiel Ngorongoro wanakula maisha.. Hawa CCM pumbafu sana, tutakutana October
 
Kwa sasa hatuna sababu zozote za msingi kuwategemea kenya kwenye bidhaa zao. Kamata mengi, kamata Azam, kamata manji, kamata METL weka ndani wiki moja na wakitoka waeleze ni kwanini tuendelee kutegemea bidhaa zinazozalishwa kenya wakati wao wana uwezo, na waje na mpango mbinu ni namna gani ndani ya mwaka mmoja watweza kuzalisha bidhaa alternative na zile tunazoagiza nje hasa kenya.
Hivi kuna mtu anauwezo kuliko serikali?! serikali ndio itueleze kwanini tuendelee kutegemea bidhaa toka Kenya!
 
Tuanze na hawa wakenye wanaobana nafasi zetu za ajira, hawa tulionao maofisini, walioko huko mahotelini, futa vibari vya kufanya kazi nchini!
 
Tuanze na hawa wakenye wanaobana nafasi zetu za ajira, hawa tulionao maofisini, walioko huko mahotelini, futa vibari vya kufanya kazi nchini!
Kuna waalimu wamejazana kwenye english medium nchi nzima. Mtaala ubadilishwe kiswahili kiwe ndio luga ya kufundishia . Haiwezekani nchi wananchi wake wengi wanapiga madili kwetu lakini wa kwetu wanaokwenda kwao wananyanyaswa
 
Wewe uko nyuma ya keyboard umejiachia unasubiri mwisho wa mwezi uvute mshahara wako wa laki tano, then unakuja hapa kutoa wazo la kufunga mpaka ili tukose wote lakini wewe utapata laki tano yako mwisho wa mwezi kwa vile serikali itakopa hela za mishahara NMB....

Migogoro kwenye biashara ni jambo la kawaida. Suluhisho ni sisi watanzania kujiwekea miundombinu yetu. Haiingii akilini Nyalandu kwenda kutangaza utalii na Aunty Ezekiel huku hajui hao watalii anaowaalika watafikaje. Wakati umefika wabongo kuanza kuangalia maslahi yetu na kutowashangaa wakenya kwa kuangalia maslahi yao.
 
Tuache kulalamika kama mapoyoyo yatosha sasa, kenya kufunga uwanja wao wanahaki, si wakwao? na sisi tuimarishe wakwetu!!

Ndio! Tuimarishe viwanja vyetu tuache kulia inakiwaje kama vile hatuna uwezo? Tatizi hapa viongozi wetu hawana uzalendo na wamezoea kutembeza bakuli ndo maana wanasema hatuwezi kuwekeza kwenye mafuta bali viwanda vya juice pekee!
 
kwanza naona tungekaa tu kimya then tuwaonyeshe responses zetu kwa vitendo...mfano, fungia bidhaa zote za Kenya kuingizwa nchini..
 
lakini tuliangalie suala hili kwa mapana zaidi tusikurupuke kufunga mipaka.
 
ndio maana nawaheshimu wachina, ingekuwa limetokea kwao, ungekuta makampuni kibao ya kikenya yanakesi tayari wikii hii zinanguruma kwenye vyombo vya habari na mahakamani kama za kodi, antcompetative na nyinginezo. Na mngekuta bidhaa zote za kenya haziuziki shauri ya kodi kubwa. Huwa hawapepesi macho
 
Kufunga mpaka na kenya si suruhu muafaka maana 1.baadhi yetu humu ni waajiriwa end month mtapata mishahara yenu,kumbukeni mama zetu na vijana wengi maisha yao wanaendesha kwa kuvusha bidhaa mbalimbali toka kenya na kuuza nchini,hao ni watanzania ambao maisha yao yote hii ndio shughuri zao na wengine ni matajiri kwa shughuri hii.
2.Pia baadhi ya wazalishaji wetu wa ndani wa bidhaa hasa za kura bado si watu wanaoangalia ubora wala kujali kama mteja ameridhika ama la,hata wasimamizi wa ubora wa bidhaa zetu tumeaona mara kwa mara wameonyesha mapungufu makubwa sana kusimamia taratibu zao kiasi kwamba tunalishwa bidhaa za ovyo.
Na hili linathibitishwa na thread nyingi zinazoibuka mara kwa mara humu jukwaani zinazohoji kuhusu ubora wa bidhaa za Bakharesa,MO,Zakaria n.k.
3.Pamoja na ubaya wa hao jirani zetu bado kuna ndugu zetu wengi waume na wake wameajiriwa na baadhi ya makampuni mengi ya wakenya humu nchini,hasa ukizingatia kenya wemewekeza kwenye sector nyingi hapa nchini ukianzia mabenki,insurance companies,manufacturing industries,hotels,retails n.k. na huko kuna maelfu ya watanzania kwa namna moja au nyingine wanapata mkate wao wa kila siku.
Mimi nadhani hasira zetu tuzielekeze kwa serikali kwa kuua viwanda na kutowekeza vyema na kutelekeza sera kujitegemea ya Mwalimu Nyerere.
NB:In nutshell most of the hotels ambazo zimejaa huko kwenye mbuga zetu zinamilikiwa na wakenya.
 
Wewe mkenya tutolee utumbo wako hapa


kufunga mpaka na kenya si suruhu muafaka maana 1.baadhi yetu humu ni waajiriwa end month mtapata mishahara yenu,kumbukeni mama zetu na vijana wengi maisha yao wanaendesha kwa kuvusha bidhaa mbalimbali toka kenya na kuuza nchini,hao ni watanzania ambao maisha yao yote hii ndio shughuri zao na wengine ni matajiri kwa shughuri hii.
2.pia baadhi ya wazalishaji wetu wa ndani wa bidhaa hasa za kura bado si watu wanaoangalia ubora wala kujali kama mteja ameridhika ama la,hata wasimamizi wa ubora wa bidhaa zetu tumeaona mara kwa mara wameonyesha mapungufu makubwa sana kusimamia taratibu zao kiasi kwamba tunalishwa bidhaa za ovyo.
Na hili linathibitishwa na thread nyingi zinazoibuka mara kwa mara humu jukwaani zinazohoji kuhusu ubora wa bidhaa za bakharesa,mo,zakaria n.k.
3.pamoja na ubaya wa hao jirani zetu bado kuna ndugu zetu wengi waume na wake wameajiriwa na baadhi ya makampuni mengi ya wakenya humu nchini,hasa ukizingatia kenya wemewekeza kwenye sector nyingi hapa nchini ukianzia mabenki,insurance companies,manufacturing industries,hotels,retails n.k. Na huko kuna maelfu ya watanzania kwa namna moja au nyingine wanapata mkate wao wa kila siku.
Mimi nadhani hasira zetu tuzielekeze kwa serikali kwa kuua viwanda na kutowekeza vyema na kutelekeza sera kujitegemea ya mwalimu nyerere.
Nb:in nutshell most of the hotels ambazo zimejaa huko kwenye mbuga zetu zinamilikiwa na wakenya.
 
Back
Top Bottom