Sababu ya ndoa za sasa Shetani kujitawala ni hii

Sababu ya ndoa za sasa Shetani kujitawala ni hii

Ahsante kwa Mada coz icho kitu nakipinga kila siku ktk maisha yng bora nibaki bila ndoa japo inaleta maswali mengi ktk jamii, kuliko kukimbilia ndoa then inakua kero ktk maisha.
 
Utafunua za watu wangapi? Na kwa nini ufunue uache? I'm so disappointed with this.
siyo kufunua kuduu,kufunua kuangalia kama inasimama.siye kwetu si tatizo shida wakaka wengi wabovu mkuu
 
Ahsante kwa Mada coz icho kitu nakipinga kila siku ktk maisha yng bora nibaki bila ndoa japo inaleta maswali mengi ktk jamii, kuliko kukimbilia ndoa then inakua kero ktk maisha.
ndo ivo mkuu
 
Hivi inakuwaje binti/mwanamke uko na boyfriend/mpenzi.... anakushawishi uzae ilhali hajakuoa na unakubali??????
kupenda upofu Mkuu.Japo muda mwingine nasema aliniokoa coz angenioa ivo ivo ningeambulia uchungu wa ndoa
 
Ndio unaweza fanya, ila iwe nje ya ndoa. Ufanye toba kabla ya kuingia kwenye ndoa, na kuomba tena huruma ya Mungu. Ili kama kunakua na uharibifu uliotangulia mbele ya ndoa yenu, Mungu auondoe na kuachia baraka zake.
 
Tatizo show off.... Mtu anataka apost pcha insta akat marriage is more than a wedding dress!
 
Back
Top Bottom