Beesmom
JF-Expert Member
- May 30, 2016
- 17,202
- 28,709
Habari,
Nimeprove hili....ndoa za siku izi hazidumu au wanandoa ni full kuchepuka.....sababu kuu ni kuingia kwenye ndoa ili uonekane umeoa au umeolewa ingali mtu uliyeoana nae moyo haukuridhia.
Tena hii inatokea sana kwa mabinti ....jamii inanionaje au rafiki yangu kuolewa basi nawe mbio kuolewa na MTU hata hujampenda...mwisho wa siku unaanza kumtesa mtoto wa MTU ndan na michepuko juu.Emu sometimes tuwe tunajihurumia siye wenyewe...badala ya kutazama naniliu atasema mi bado sijaoa au sijaolewa ,,,angalia na upande wa pili kwamba je ukishaolewa au kuoa hao kina mwafulan watakusaidia kuendesha ndoa yako.
Mfano halisi ni mimi mwenyewe,mi nimezaa before marriage lakin simlaumu sana Ba fulan coz naamin mi ndo nilimpenda ila yeye hakunipenda so akaona akiforce kunioa huenda akanitesa.Japo upande mwingine namlaumu coz kama hujampenda mtoto wa watu usiombe mzae.So tujiulize mara mbilimbili tusikurupuke....bora umri uende kuliko kuingia ndoan na mtu usimpenda........mnaharibu pesa za watu za michango ya harusi jamen