Sababu ya muwasho kwenye mrija wa Urethla.

Mpwehuka

Member
Jan 16, 2016
14
2
Habari wana JF!.
Naombeni msaada kuhusu hili nimekua napata muwasho kwenye mrija wa kupitishia mkojo(Uume) siku tatu zilizopita, Chakushangaza leo naamka naona kama usaa kidogo kwenye kwenye Bukta.

Naombeni msaada wenu wakujua hili ni tatizo gani?, Linasababishwa na nini? na nini tiba yake?.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nina mwasho kwenye kisigino.

Tell me what that kind of disease?
Duh pole.Sjui kwakweli unaweza ukawa na funza au labda unakosa Vitamins..au utakuwa Una ugonjwa kwa ndani unaosababisha usikie kuwashwa kwamfano Kama Una blood disorders kama red blood cells nyingi,au kidney Failure,magonjwa ya Ini.Sababu kibao.Utakuta hata Hauna shida.See a dermatologist.

Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app
 
poa poa... nilikuwa nakuhakiki tu.
 
Back
Top Bottom