Jamani kuna watu wanalalamika sitoi likes na wakati mimi napewa..the thing is ninatumia jf mobile na hakuna kitufe cha like!wote wenye dukukuduku nadhani nimejibu swali lenu!
umeona enh?wasio na uelewa wanafikiri tuko selfish!
bila shaka utakua umemuona twin wangu tunafanana sana!
hili swala hata mimi ni ugonjwa mkubwa nilio nao,tusaidieni wataalamu
twin wako ndo mmefanan vile, bas shem wang anashida..
bonyeza 'desktop' then surf kupitia hapo utagonga like kama kawa! Ila mmm!!!
Jamani kuna watu wanalalamika sitoi likes na wakati mimi napewa..the thing is ninatumia jf mobile na hakuna kitufe cha like!wote wenye dukukuduku nadhani nimejibu swali lenu!
teh!,teh!,teh!,...kwi,kwi,kwi,,ha!,ha!,ha!....sina mbavu Junior usiniuwe na kicheko!kaniita twin wake bila kuniangalia uson ile ananiangalia tu akakuta namfanana wassira?huku wewe una mfanana pinda!....teh!teh!
sijawahi kwa sababu sina unataka nikaazime na mie nionekane nimo?no thank you..