mi_mdau
JF-Expert Member
- Oct 29, 2010
- 1,171
- 1,757
Kumekuwa na malalamiko kila kukicha kuhusiana na matukio ya wazi ya kubebwa yanayotoka kwa timu pinzani za Manchester united ya uingereza. Pamoja na ubora wake, Man Utd ni timu ambayo inapendelewa sana na waamuzi, wakiongozwa na howard web ambaye katika historia yake ya kuchezesha soka, asilimia 18 ya penati alizotoa ameipa Man utd (FACT).
DAVID GILL- Ni mtendaji mkuu wa Man utd. Anasifika kwa uhodari wake wa kuongoza timu na kusimamia biashara ya club yake. Alipanda kuwa mtendaji mkuu akitokea nafasi ya ukurugenzi wa fedha klabuni hapo. Aliingia kwenye bodi ya FA (chama cha soka cha uingereza) mwaka 2006 kama mjumbe. Kocha wa liverpool (Rafa Benitez) aliwahi kulalamika kuhusu uteuzi wake lakini hakuwa na mtu wa kumsaidia. Mbaya zaidi kwa wapinzani wa Man u ni kwamba October, 2012, David Gill amekuwa makamu mwenyekiti wa FA, na hivyo kuwa na nguvu zaidi. Akishirikiana na uzoefu wa Ferguson, Gill ametumia ushawishi wake (usio wa haki kimpira) kuisaidia timu yake kushinda mechi kadhaa isivyo haki. Mfano refa aliyechezesha mechi yao ya mwisho na Liverpool, alialikwa na Fergie kwenye tafrija (ya Charity), takribani wiki moja kabla ya hiyo mechi. Refa Mike Hasley aliudhuria na alifurahia tukio hilo.
UPINZANI NA LIVERPOOL- Vijana wengi walioanza kufuatilia mpira wa uingereza katikati na mwishoni mwa miaka ya tisini wanaweza wasielewe sana kama Man u na Liverpool ni Simba na Yanga za Uingereza. Sababu ni kuwa Kipindi hiki Liverpool haijafanikiwa sana katika mpira wa Uingereza (hasa ligi), tofauti na timu kama arsenal na chelsea, na sasa Man City. David Gill kama kiongozi wa man u na Ferguson wanafanya kila njia kuendelea kuisimamisha Liverpool ibaki na mataji yake 19 ya ligi ili Man U yenye idadi hiyo pia kwa saa iipite na kutawala ligi hiyo. Si rahisi kulielewa hili kama mtu si mfuatiliaji mzuri wa siasa za soka, ila fuatilia maamuzi ya mechi za liverpool yanavyokuwa, inapopambana na timu yoyote ile katika ligi ya uingereza. Wengine hushangaa kwa nini liverpool na ubaya wake inafanya vizuri mashindano ambayo si ya ligi (UEFA, EUROPA LEAGUE, FA, CARLING). Ni kwa sababu mkono wa marefa wa ligi haufiki sana huko (FACT). Liverpool (ingawa kwa sasa inatengeneza timu) italizwa sana na mtu huyu kama ilivyonyimwa goli la dakika za mwishoni jana (28/10/2012) dhidi ya Everton.
UPINZANI WA MAN U NA CHELSEA, ARSENAL, MAN CITY, TOTENHAM.- Man U wamekuwa wakibebwa sana wanapopambana na wapinzani wao kama Man City na wengineo wanaogombania nao mataji. Man City ilipoanza kuja juu kuna mechi yao ilikuwa na dk za nyongeza zisizopungua 5, cha ajabu zilienda hadi 7 na Man u wakapata ushindi. Kwa kifupi ni udhibiti kwa wapinzani. Mechi ya mwisho ya Chelsea na Man U, torres aliguswa, sisemi ni foul, ila haikuwa sawa kumpa kadi kwa kuwa hakujirusha. Goli la 3 alilofunga Chicharito lilikuwa ni la kuotea (wakati mpira unapigwa alikuwa ameotea tayari, anajaribu kujirudisha onside). Kuna mifano mingi sana, lakini tujiulize kwa nini Man U tu????
Jibu ni rahisi, kwa sababu ya Ushawishi wa David Gill na SIR AF
KIPANDE CHA DATA (Hivi ni coincedence au??)
Mike Riley, kiongozi wa marefa ligi kuu uingereza- alikuwa refa kipindi cha nyuma kidogo, aliyempa rooney penati ya kudive 2004 Man u ikiwapiga arsenal 2-0. Arsenal siku hiyo wakapoteza rekodi yao ya kutofungwa katika game 49. Mwaka 97/98-2004 amechezesha game za Man u 23, katika kipindi hicho amewapa utd penalty 12, ila 3 tu against them, ametoa kadi nyekundu 5 kwa wapinzani, at old trafford ametoa penat 10 katika game 14. Huyu ndo anaamua nani achezeshe game ipi kwa sasa
Ref wa jana Clattenburg hakuwa amechezesha game 38 za Man u katika michuano yoyote. Game yake ya mwisho kabla ya jana alitoa kadi nyekundu kwa evans na man u walilala 6-1 dhidi ya city. Aliporudi akatoa faida kwa Man u
Asilimia 18 ya penalt alizotoa Howard webb maishani mwake, ameipa Man U. Na huyu ndo refa aliyechezesha mechi nyingi za Manchester kuliko mwingine yoyote.
Unamkumbuka Mark Halsey (aliyechezesha last match Liverpool vs Manure)- aliwapa WBA penat walipodraw na Man u 1-1 at old trafford. (May 2005). Ilikuwa game yake ya 5 kuchezesha Man u hiyo season. Hakugusa mechi ya Man u mwaka mzima baada ya hapo. Alipozigusa 11 zilizofuata zote Man u alishinda, mojawapo ni ile ya Anfield ya mwisho, with 3 controversial decisions kwenda kwa Man U.
Michael Oliver took charge of Man u 2-1 loss at wolves feb 2011. Dec 2011 ndo akaja kugusa tena mechi ya Man u, mechi zote mbili Man u ikashinda, akiwanyima fulham penat kwenye mojawapo. Wiki chache zilizopita wakawapa penat ya kichekesho Man U baada ya welbeck kujirusha vs Wigan, unakumbuka?
Martin Atkinson ndo alishika mechi aliyopoteza Man u dhidi ya chelsea 2011. Akakaa mwaka mzima bila kupewa game ya Man u. Zaidi, akaadhibiwa kwa maamuzi yake ya siku hiyo. Hakugusa mechi yoyote ya ligi kuu kwa mwezi mzima, akapewa mechi tatu za ligi za chini msimu huo.
Man u alilala 3-1 kwa liverpool msimu wa 2010-11, refa akiwa Phil Dowd. Fergie akamuwakia kwa nini hakumtoa Carragher na Red. Game iliyofuata ya Man u (the very next game), Dowd akaishika, Man u wakapewa penat wakadraw 1-1dhidi ya Blackburn wakapata League title ya 19.
Chris Foy alichezesha mechi ya man utd ikilala 1-0 dhidi ya arsenal msimu uliopita. Mwaka mzima, Foy hajagusa mechi yoyote ya Man U. Game 2 za man u zilizofuata, alizochezesha, dhidi crystal palace, carling cup akawapa Man u penalty. Dhidi ya city, FA cup, akawapa penalty na red akala Kompany mapema tu.
Mike Jones, akachezesha Man u na Newcastle, ilikuwa draw ya 1-1, alimpa demba ba penat. Jones hakupewa mechi yoyote tena kwenye level yoyote kwa mwezi mzima. Game ya united aliyopewa baada ya hapo, Man u waliipiga. Stoke 2-0, penati 2 laini kwa Man U
Na Man U si alipigwa 3-2 na spurs? Si unajua Chris foy ndo alichezesha, si unajua hakuwapa penati? Hatachezesha game weekend ijayo, atachezesha mechi ya League 2 kwa mara ya kwanza ndani ya miaka 4.
Mike Jones amefanywaje sasa maana hakutoa penalty ya wazi kwa Suarez dhidi ya norwich. Ye anachezesha game ya WBa vs QPR.
Na Howard Webb je?? Yeye alitoa kadi nyekundu kwa Jordi Gomez, ambayo imetenguliwa na FA, anashika game ya Newcastle na Man U, utampenda!! Kosa linamgharimu Foy lakini si hawa wengine, why???!!